Mtasema yote mwaka huu, unajua kiba ni zaidi ya boss wako mondi ( ukitoa makolabo ya wanigeria ambayo wanampa msanii chipukizi mondi). Hii comment yako inaonyesha jinsi unavyosubir kwa hamu mfalme atakuja na kitu gani hhahhahaahha mbona huwa huzisubirii video za kina shilole na mziwanda. Chungu kumeza ila umejitutumua mzee, angalia trace kesho kisha ufungue thread.
Diva Beyonce shikamoo, ila sasa hawa phd holders wagumu kweli kuelewa cjui hizo phd walizipataje, taratibu tu wataelewaAm always wise kwenye mambo yangu the whole year sina mwezi mtukufu wala Kwaresma.
#AmWiseAndamPositiveInThinking .
Na always niangalia kitu kwa pande zote. Iwe positive au negative.
Lakini Ukae ukijua Yeye ni msanii chipukizi. ....
Lakini Ukae ukijua Yeye ni msanii chipukizi. ....
Kiba akaze tu jaman m naamin kwa video hyo ya cheketua huenda na yy akapata nominee ya upcoming artst wa afrca
Diva Beyonce shikamoo, ila sasa hawa phd holders wagumu kweli kuelewa cjui hizo phd walizipataje, taratibu tu wataelewa
Na ndio logic yao ya kujaji kila kitu
Ale chekecha cheketuaaa...
Najisikia princess hapa.
Hahaaa hizo phd zao no za uchochoroni tena za Zoom wangekua na PhD wangewezà kung'amua mambo kwa ufasaha.
Heheh le princess.....kwa raha zako.
Lakini Ukae ukijua Yeye ni msanii chipukizi. ....
Yaani we acha tu, hiki kipaji walah ni dhambi kubwa kutokukirecognize ndio maana majirani hawataki dhambi kutwa tuko nao humu wanamrecognize japo in a bad way ila wenyewe wanaujua ukweli mioyoni mwao, wanamkubali King vibaya mno na anawaendesha hatari, basi tu wanajitoa ufahamu.
Wanashindana na asoshindana si uendawazimu huo, acha awakimbize na inabidi wamshukuru sn King maana bila yeye wangelala, kawaamsha hatari.
Hebu na wote tuwe na adabu na tuseme "Hasante King"
Kiba anajulikana afrika ndio maana alichaguliwa kuimba mwimbo wa one africa. Labda useme kujulikana nigeria ambapo kuna watu wanaamini kuwa ili uchomoke kimataifa lazima ukaombe kolabo nigeria
Hivi wema jana kasemaje vile kuhu tuzo za KTMA juu ya kumpigia kura kiba... daaa wema bwana napenda kweli kipond chako
Hicho kipindi chake kinaonyeshwa hapa?? Au bado una homa ya tuzo?? Mlishazikosa (mcheza kwao hutunzwa) so we km bado unaugua basi ugua pole.
Hahah some people bhana.
Eti anawaambia wenzie wana elimu ndogo....elimu ndogo compared to who??? Smh
Wewe mwenye elimu kubwa ndo ikoje? Ina ukubwa gani?! Mbona waonekana lafa tu!! Heheh ebu nitie kicheko cha sunna mie!
Alafu nawe Matola naona ka unazingua tu daily kujipendekeza mtaa wa pili.
Kwani ukimkosoa Kiba ni lazima ukajisifu kwa jirani? Huko ni kujikosha tu ndo ukae ukijua hata kama we unaona sifa FYI wanakuchora tu.
Kama mtu unaona Kiba anazingua si umteme tu kwa sh ngapi aseee??!
Wakosoaji hawako hivo ila watafuta sifa kwa nguvu ndo mmejificha under the umbrella of kukosoa!
Kumbe watu wanapiga magoti ili wapewe kick hahaha hiki ni kichwa cha mwenda wazimu hata ufanyaje
Hahah some people bhana.
Eti anawaambia wenzie wana elimu ndogo....elimu ndogo compared to who??? Smh
Wewe mwenye elimu kubwa ndo ikoje? Ina ukubwa gani?! Mbona waonekana lafa tu!! Heheh ebu nitie kicheko cha sunna mie!
Alafu nawe Matola naona ka unazingua tu daily kujipendekeza mtaa wa pili.
Kwani ukimkosoa Kiba ni lazima ukajisifu kwa jirani? Huko ni kujikosha tu ndo ukae ukijua hata kama we unaona sifa FYI wanakuchora tu.
Kama mtu unaona Kiba anazingua si umteme tu kwani sh ngapi aseee??!
Wakosoaji hawako hivo ila watafuta sifa kwa nguvu ndo mmejificha under the umbrella of kukosoa!