Ali Kiba Fans' Special Thread...

Uwiiii kumbe yupo kifungoni!! Ila alijiandaa kwa kifungo, sio kwa machambo yale, ila alinifurahisha

nilijua lazima yamkute majanga, ila nitamuombea apate upendeleo, cute b hebu kuja huku nimekumis sana ujue
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
😀😀😀😀😀😀 best video of the year hiyoooooooooooooo #pop it in

Hahahaaaa sio of the century! (msinune jamani, andaeni script tu)

Nasikiliza wimbo wa "nichum" nikakumbuka mbali sn maana nilikuwaga naupenda huu wimbo hatari hadi roomate zangu wakawa wananiita nichum, nilikuwa naupiga repeat kuanzia asubuhi hadi jioni, duuuh Kiba anajua kuniweza
 
Umemmiss wakati pesa alizokuhonga ndizo unatambia hapa

tatizo mwisho wa mwezi huu kapata hela kila mtu anamuona sisimizi, kaamkia kutukana watu, ila naamini j3 tutakuwa naye hapa
 
kashapaniki tayari domo angalia hapa ndo mchezo wake huo #kebekebe

Heheh dude itakula kwake.
Chekecha ndio video ya watu inayosubiriwa kwa hamu.
Hata kama ikiwa mbaya (just in case ni kwa mfano tu) lazima itamzima tu or else asubirie youtube viewers wake wakiintaneshno!
 

nakwambia hiyo chekecha yenyewe alipewa ofa na abuu dady baada ya kuvujisha nyimbo zake angalia balaa lake lile na hakuwa sirious lakin sasa hiyo collabo ya bella inatoka na video pa1 #teamkibaaaaaa
 
Heheh dude itakula kwake.
Chekecha ndio video ya watu inayosubiriwa kwa hamu.
Hata kama ikiwa mbaya (just in case ni kwa mfano tu) lazima itamzima tu or else asubirie youtube viewers wake wakiintaneshno!

kabla haijatoka ina viewers 8k ikitoka je #teamkiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…