Itakuwa hakuelewa aisee, basi now atakuwa amekuelewa, and nimefurahia sana response yako, a gentleman's response, gud boy.
ulikuwa unaponda swala la kiba kuhamishwa nyumba, swala la rockstar kuuza nyimbo then leo unajifanya unatetea, we ponda maana sisi huwaga hatujali maneno yenu, kuwa kama mwanaume, jiamini
Hahaaaa hongera zako mama from division five qt ukamaliza nao unaanza kasatifiketi jitahidi mana hata mbuyu ulianza ka mchicha utashangaa una PhD yako. Usijali michango utaipata tu.
ile screenshot mliyoitupia kwenye ule Uzi wa menejimenti ya kiba kuiba nyimbo ya Mondi ni uongo?
Oyoooooo kitu cha chekechaaa kwisha kazi.
King anasema DONE DONE DONE
Habari zenu jamani mkimuona mwambie nilipita hapa!
Akiachie sasa tucheketue, ila next time asifanye hili kosa tena
Hahahaaaaa na kweli asirudie
Hii video inaonekana mwakan itachukua vipengele vyote vya video bora teeeeeehteeeeh. Safiii Kiba achia taratibu taratibu ili zituingie vizuri
Bado masaa machache !!
Bado masaa machache !!
Masaa 24×90 days au?
Ngachoka na mbwembwe mie.