funguka fasta mkuu???
Hhahahaahahahah
Eti video na Audio
Nenda kawaulize Global.....kwani mie ni gazeti?
sijui kwanini mnapenda kupata attention, juzi ulikuwa unaponda leo unasifia, just be real mbona wenzako wapo wanapondea jiunge nao
mkuu hao global si ndo tulisema kule kwenye Uzi wa kiba tusiwaamini,sasa kivip tena nikawaulize?..Mimi nataka wewe uliyecomment uniaminishe kwa ushahidi kama huna basi ni uongo huo na muache kuspread rumours zenu.
funguka vizuri apo nilikuwa naponda nini iyo juzi? na leo nimesifia nini?...maana nacomment nyuzi nyingi ndugu kutokana na mada husika.
Huyu si mkongwe hadi ameota Sugu
Anayechipukia tena?
Mwambieni Ajenge Nyumba kwanza sio kuishi kwa huruma za wanawake
Huyo mwanamuziki wenu ana umaarufu ambao hauko translated kwenye pesa.....ana faida gani na huo usanii>
Hahahaaaa nitajoin pale Kilimanjaro kwa ajili ya diploma.
Alafu wanaotuambia turudi shule wawe wanatupa na ada kabisa. Lol
Hahahaaaa nitajoin pale Kilimanjaro kwa ajili ya diploma.
Alafu wanaotuambia turudi shule wawe wanatupa na ada kabisa. Lol
+Mkuu huko insta ulitembelea kweli au ulisimuliwa, ni wapi Salam alisema management ya alikiba wapi Kiba katajwa kwenye post ya meneja:what:
+halafu mkuu unaongea kwa uchungu, teh teh pole sana hamna namna ndo ishakua ivoView attachment 263625
ulikuwa unaponda swala la kiba kuhamishwa nyumba, swala la rockstar kuuza nyimbo then leo unajifanya unatetea, we ponda maana sisi huwaga hatujali maneno yenu, kuwa kama mwanaume, jiamini
Hii habari iliwekwa kiuchochezi sana, aiii mie nafurahi tuu maana wanazidi kumpaisha king, let them keep on talking abt him, who else ll they talk abt sasa, he is the king you know!
Waanze basi kamchango ka ada u know hatuna ada, bora we unaanza na dipuloma mwenzio naanza na satifiketi
Hi atoto,naona bwana petechoka hakuelewa point yangu ya msingi so tumepishana kidogo.