Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kila kitu kimeshikiliwa na menejiment, hivyo kukutana nae inabidi kiba atume maombi maalumu na atapangiwa tarehe kulingana na ratiba ya Diamond.

Ila sema ukweli mi ream kiba,but tukubali kila mtu ana wakati wake,na wakati ukiahapita huwezi kulazimisha,enzi za Mr nice siyo sasa ndo maana mambo yamemkataa,kina AY wa siku nyingi nao mambo yamegoma,kila mtu ametesa kwa wakati wake,kiba kufukuzana na diamond ni ngumu sana na kitu kinachofanya asumbue ana back up kubwa ila bado,nadhani Rich Mavoko akijitahidi akawa na menejimenti nzuri atasikika kimataifa hata kuliko kiba
 
Unachoongea ni kweli mkuu pia binafsi naona kama Kiba hayuko tayari kwa ushindani pamoja backup kubwa ya mashabiki.

Na hizi skendo za kutimuliwa nyumba ya kuishi ndio zinawakatisha tamaa kabisa mashabiki wake.

Mziki ni pesa, ila kwa kiba inaonekana pesa ni tatizo ndio maana mashabiki wake wameshiba video ya cheketua kabla haijatoka.

Ushauri atafute wadhamini wa ukweli, akubali kutumika kabla ya kutumikisha.
 

Weka ushaidi hapa habari yako iko kimajungu acha kudaganya hadharani.
Hata haya huoni. Weka ushaidi ili tuamini bila hvo wewe ni mzushi na mzandiki.
 
Ni tukio la kihistoria baada ya mahasimu wawili kutokuwa na maelewano mazuri kwenye kazi ya music sasa wakutana! Tusubiri collabo


Kuhusu mavazi Kiba aisee ana niangusha sana hajui kupangilia pamba hata kidogo japokua body ya kutupia pamba anayo!
 
Naona mnatamani ingekuwa kweli, lakini KingKiba hana muda kwa sasa labda mmuweke booking huenda mkafikiriwa mkutane hata na abdu kiba sababu king yupo bize na collabo na wikzd.
 
Moderator tafadhali pigeni kufuli mleta mada,tukio hili la picha lapata miaka miwili iliyopita na ilikuwa ni Europe!!!
 
Last edited by a moderator:
Jamani kuna watu wanonkho sijapata ona.
Eti tumegeuza uzi group la whatsup....
Kweli watu wanatuonea wivu sana yaan adi wana tetaa na bado najua mnapita apa kwa taarifa yenu apa ni nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…