Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Last edited by a moderator:
atoto we subiri swaumu ieshe bhana ustadh kiba bwana mkimyaaa mkimyaaa sanaa hta collabo ya bella ilikuwa hataki ijulikane sema bella ndo alianza kupost insta akaharibu #good thing are coming

Haya bwana ngoja niendelee kusubiri, mie tena!
 
Last edited by a moderator:
man water vs king kiba guess what is going to happen haya nishakuonjesha ubuyu tayari nisalimie nifah mwambie nimemiss sana harakat zake

Aiiiii namkubali sn man maana nikikumbuka zile mbwembwe zake ndani ya mwana sio mchezo hata kidogo, alitulia sn mle
 
Last edited by a moderator:
Aiiiii namkubali sn man maana nikikumbuka zile mbwembwe zake ndani ya mwana sio mchezo hata kidogo, alitulia sn mle

acha tu man water hata nani kama mama aliitendea hakii hakosei hta kidogo huyu jamaa #aidan
 
Jokate amesema kwamba yupo tayari kumuhifadhi king kiba kwa muda baada ya kutimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa anaishi
 
Back
Top Bottom