Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahaaaa pwilo mchokozi wewe!! Naona mwendo ni maambassadors tu

hii ni dunia ya ma Ambassador sio mtu unakuwa Ambassador wa condom na maleria duh mungu muepushe king na hayo mavitu ya kijinga #good thing are coming
 
Last edited by a moderator:
hii ni dunia ya ma Ambassador sio mtu unakuwa Ambassador wa condom na maleria duh mungu muepushe king na hayo mavitu ya kijinga #good thing are coming

Good things are coming, hivi kumbe kupost kitu ni kuringishia!!! Mweee akili za kitoto za kudolishiana chupi taabu kweli, sasa uzi ni wetu walitaka tuweke nn!!! Au muda wote wanawaza tuuuu negative!!
 
Kweli inaonekana umekosa cha kuringishia....km issue ni ubalozi mbona wapo kibao

daa sasa mkuuu unanitafuta ugomvi kwani nimekutaja hapo ww au umelazimishwa kuchangia hebu nitafutie jina la diamond hapa kama lipo endelea kuchangia kama halipo amsha popo #KING KIBA #ROCKSTAR ARTIST
 
pwilo ndio zake kutupa uhondo nusunusu, nishamzoea
atoto we subiri swaumu ieshe bhana ustadh kiba bwana mkimyaaa mkimyaaa sanaa hta collabo ya bella ilikuwa hataki ijulikane sema bella ndo alianza kupost insta akaharibu #good thing are coming
 

Attachments

  • 1435226520276.jpg
    1435226520276.jpg
    52 KB · Views: 74
Last edited by a moderator:
hapana utaharibu mautam ww subiri good music from king #best collabo of the year 😀😀😀😀😀😀 wataelewa tuuu #Abuu dady

Hahahaaaa pwilo wew ni chizi ujue hahahaaa... yaan unajitoa ufaham kama vile sio wew..tehe tehe aya nasubili sikutaji tena.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa pwilo wew ni chizi ujue hahahaaa... yaan unajitoa ufaham kama vile sio wew..tehe tehe aya nasubili sikutaji tena.

umevote lakini voteee basi kwani bando c ni la kwetu kwa nn mtu atupangaie et #vote for davido
 
Last edited by a moderator:
Ahaaa husemi eee... nakutaja sasa wew ni nani.... pwilo ni....... niseme?

man water vs king kiba guess what is going to happen haya nishakuonjesha ubuyu tayari nisalimie nifah mwambie nimemiss sana harakat zake
 

Attachments

  • 1435227603362.jpg
    1435227603362.jpg
    45.3 KB · Views: 80
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom