Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahaaaaaa uzalendo kweli kweli ndo huo wa kuendekeza vigodoro ndo ujanja huo. Ndo hao wanaojaa kwenye page ya Davido kutukana ndo uzalendo wao hao.
Uzalendo wa maneno tu. Mi napenda ule uzalendo wa Nyerere sasa hakuna mzalendo loh.

Kuvamia vamia kila kitu na kukurupuka ndio wanajua, aiseee i can seee the bi difference btn this family n other dudes kwakweli, embe haidondoki mbali na mwembe ujue!!! Okey kwakuwa hapa ni mtakuja na hamuwezi kujizua as mtaumwa, basi karibuni sn, tutafanyaje ss na ndio watanzania wenzetu ngoja tu tuwe wazalendo tuwavumilie mayb 1day watajitambua😉😉
 
Heloooow lovely family, missed you guys, kwani nini kinaendelea? Mbona mamluki wengi humu? Mmewashika wapi mpaka watapetape hiviiiiii!!! cute b plzzzzzz!!

Kisa kiba kamaliza kurecord collabo yake na bel ndo wanatapa tapa mamy
 
Last edited by a moderator:
umepanic nini binti?

Mbona muhusika ameelewa tu

Una tatizo personal?

This is social network...You should not integrate it to your real life

Duuuh kweli wewe ndio umepanik dogo, eti to my real life, like serious!!! Hujaelewa why nimecoment hivyo alafu ukakurupuka tu eti nimepanic, km hukuelewa ungeomba tu ueleweshwe sio kukurupuka.
 
Tena watu wazima kabisa bora ingekua tenaja wengine wanakimbilia uzeeni.
Yani watu wazima kabisa hata haya hamna bora hata wanawake mijianaume mizima sasa inashangaza kabisa so shame kwa kweli😱😱😎

"wanaume" umekosea kulitumia hapo, sema wavulana maana pia mie nahisi ni man's id ila zinatumiwa na wanawake, those cant be men trust me.
 
Kuvamia vamia kila kitu na kukurupuka ndio wanajua, aiseee i can seee the bi difference btn this family n other dudes kwakweli, embe haidondoki mbali na mwembe ujue!!! Okey kwakuwa hapa ni mtakuja na hamuwezi kujizua as mtaumwa, basi karibuni sn, tutafanyaje ss na ndio watanzania wenzetu ngoja tu tuwe wazalendo tuwavumilie mayb 1day watajitambua😉😉

Yani from nowhere mtu unakurupukia kitu ili iweje sasa hahaaaa kumbe wanashindana mitandaoni. Wanao Uzi wao special kwanini wasiende vtu vingine ni kuwa tu na kiasi basi no one is going to be awarded.
That why I love #kibasfans aisee they act in civilized way. Compare with other team.
Sio embe tu mtoto wa nyoka ni nyoka.
#IloveKibasFansTheyAreMaturedEnoughTheyKnowToActAsGrownPeople .
#NeverWasteUaTimeArguingWithFools .
#TeamKibaForeverOneLoveoneAfricaOneBlood .
 
Inawauma nn wao kwani? Alitaka aimbe nao?

Si walisema kiba anaangaika na tembo ndomo yupo studio?
Sasa leo imemalizika.
Walizani kiba ni mtu wa shoo of kila anachofanya apost.
Leo mashavu yamewashukaaa loooo
 
"wanaume" umekosea kulitumia hapo, sema wavulana maana pia mie nahisi ni man's id ila zinatumiwa na wanawake, those cant be men trust me.

Wavulana hao mamy hujakosea mwanaume ni mtani wako pekee ndo anatumia akili ila wengine hamna kitu
 
Duuuh kweli wewe ndio umepanik dogo, eti to my real life, like serious!!! Hujaelewa why nimecoment hivyo alafu ukakurupuka tu eti nimepanic, km hukuelewa ungeomba tu ueleweshwe sio kukurupuka.

sawa kubwa nimekuelewa

Ahsante
 
Best option ni kumu ignore tu mtu anayetafta ugomvi sasa kumshabikia Kiba napo kosa. Its so shame kwa kweli watu wazma kabisa.
Mi ndo aki quote Mpaka achoke anapoteza mda wake stress zao hatutaki kwenye Uzi special kwa Kiba.

Kwakweli kuna mambo yanachosha mno!
 
Si walisema kiba anaangaika na tembo ndomo yupo studio?
Sasa leo imemalizika.
Walizani kiba ni mtu wa shoo of kila anachofanya apost.
Leo mashavu yamewashukaaa loooo

Waache wamuongelee watamuongelea nani sasa, kuna siku eti walikuwa wanajipamba eti wakimuongelea Kiba wanampa kiki wakaambiana kutomuongelea Kiba tena, uwiii wakajisahau kuwa Kiba ni maji wanamnywa,kumpikia,kumuogea n.k kilaaaaaa siku lazima wamuongelee na kumfungulia nyuzi zisizo na miguu wala kichwa, hahahaaaa nicheke mie maana bandama ninayo.
 
Yani from nowhere mtu unakurupukia kitu ili iweje sasa hahaaaa kumbe wanashindana mitandaoni. Wanao Uzi wao special kwanini wasiende vtu vingine ni kuwa tu na kiasi basi no one is going to be awarded.
That why I love #kibasfans aisee they act in civilized way. Compare with other team.
Sio embe tu mtoto wa nyoka ni nyoka.
#IloveKibasFansTheyAreMaturedEnoughTheyKnowToActAsGrownPeople .
#NeverWasteUaTimeArguingWithFools .
#TeamKibaForeverOneLoveoneAfricaOneBlood .

Yaaah na ndo le king family wanavyotakiwa kuwa...
Kwa nini mtu umezeeka lakini akili unazifanya kama za mtoto wa pre? Au mpaka kengele zihamie uson ndo wajue wamekua labla.
Wanajidai wanapenda shari kumbe ni hawana kazi za kufanya basi ndo wanahangaika. Ni kuwapotezea tuu aquote mpaka dole gumba liote sugu unapita kama vile huoni.
unajua hamna dharau kubwa kama umsemeshe mtu asikujibu? Inauma haswa yaani.
Ila siku zote jibu la mjinga ni kukaa kimya.
#kibamiakaelfumia
 
Back
Top Bottom