Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Waache wamuongelee watamuongelea nani sasa, kuna siku eti walikuwa wanajipamba eti wakimuongelea Kiba wanampa kiki wakaambiana kutomuongelea Kiba tena, uwiii wakajisahau kuwa Kiba ni maji wanamnywa,kumpikia,kumuogea n.k kilaaaaaa siku lazima wamuongelee na kumfungulia nyuzi zisizo na miguu wala kichwa, hahahaaaa nicheke mie maana bandama ninayo.

Wanaanzaje kuacha kumwongelea super star? Celebrity nyuzi zote zimedoda hamna uzi unaopumua zaidi ya huu ndo maana wanaleta makanyagio yao huku yenye sagamba hahahaaaaaa
#kibawaueeeeeeeeeee
#papireeeeeeeeeee
 
Si walisema kiba anaangaika na tembo ndomo yupo studio?
Sasa leo imemalizika.
Walizani kiba ni mtu wa shoo of kila anachofanya apost.
Leo mashavu yamewashukaaa loooo

Bora kiba ni #Ambasodor wa Tembo ku campaign wasiangamizwe for our nation na future generation kuwakuta. Mineno ya mkosaji tu hyo.
Yani hyo collabo na Christian Bela itakua kiboko wote wana sauti mzuri balaaa. I love their voices I can't wait aisee huo wimbo.
#CongratulationsKibaandChristianBella .
 
Yaan wote sauti tamu na mtaa wa pili wanaelewa ndo maana nyuso zimewashuka yani.
Kiba hajapumzika bado anatupikia mahanjumati.
 
Wavulana hao mamy hujakosea mwanaume ni mtani wako pekee ndo anatumia akili ila wengine hamna kitu

Very true i do appreciate him kwa kweli hana mambo ya ajabu yani u can even argue with him.
I do respect him na siku zote hu comment vtu vilivyo enda shule. That's a real man anavotakiwa kuwa.
 
Yaan wote sauti tamu na mtaa wa pili wanaelewa ndo maana nyuso zimewashuka yani.
Kiba hajapumzika bado anatupikia mahanjumati.

Kwa kweli nahamu na huo wimbo sana tu tena akianza Christian Bella na ile sauti yake uwiiii ngachoka na kiba pale ndo usiseme. Sijui watautoa lini.
Hakunaga ka Kiba na Bella kwenye sauti. Mtu wao sauti huwa haitoki kila wimbo anahemea ndani kwa ndani hata haeleweki.
 
Very true i do appreciate him kwa kweli hana mambo ya ajabu yani u can even argue with him.
I do respect him na siku zote hu comment vtu vilivyo enda shule. That's a real man anavotakiwa kuwa.

Yaan mamy kwa hao majirani Ruttashobolwa tuu tuuu unaelewa maana ya tuu? Ndo anayeelewa ushabiki ni nini.
Wengine hawataki watu wapende wanavyovitaka wanajenga chuki tuu
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli nahamu na huo wimbo sana tu tena akianza Christian Bella na ile sauti yake uwiiii ngachoka na kiba pale ndo usiseme. Sijui watautoa lini.
Hakunaga ka Kiba na Bella kwenye sauti. Mtu wao sauti huwa haitoki kila wimbo anahemea ndani kwa ndani hata haeleweki.

Hahahaaaaa dia umeniua kwa kicheko.
Mtu wao anachokijua ni kila wimbo kusema aiii...aiii...aiii sasa sielewi ndo anakuaga anavuta pumzi au ni nini.
 
Yaan mamy kwa hao majirani Ruttashobolwa tuu tuuu unaelewa maana ya tuu? Ndo anayeelewa ushabiki ni nini.
Wengine hawataki watu wapende wanavyovitaka wanajenga chuki tuu

Watu wanachukulia ushabiki too personal sana tu. Kwa wengine waelewa hushindana kwa hoja wengine wamezoea vigodoro.
#ladypeacemaker .
 
Last edited by a moderator:
Kweli bia ya kilimanjaro ipunguzwe ulevi jamani watu watakufa. Yaani wamezinywa kwanzia siku ya tuzo adi leo wamelewa tuu na kukurupuka.
Duu pole zao ndo ivyo tena wakiwa wanalewa lewa sisi tunarecord na ku deal na majangilizzzzz
 
Hahahaaaaa dia umeniua kwa kicheko.
Mtu wao anachokijua ni kila wimbo kusema aiii...aiii...aiii sasa sielewi ndo anakuaga anavuta pumzi au ni nini.

Hahaaaaaa cute b mbona na wewe umeniua na aiiiiiiiii wimbo mzima hauna maana yoyote. Teh teh teh aiiii anavuta pumzi you know chezeiya le kuhemaz kama bataz plasi ujanja ujanja.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom