Ha ha ha watu wanaijua ignore list kabla we hujaijua jf ni nini....ha ha ha siku nikiwa na mood ya kichokozi ndo kama hivi yani naquote tu hata ukinuna naquote tu....Jaman kiba fans nawashauri. Usipoteze muda wa ku argue na wajinga ambao shule kwao hawaijui.. ni ma jobless...wanao kaa kung'aa ng'aaa kuangalia tumepost nini. Kuna option tuu ya ku ignore kwa nini mtu akuletee mambo ya facebook na wakati huku ni kwa watu wazima?
One love wote mnaomsaport king kiba.
Vyupa vinawahusu wanafiki wote na mnaovizia vizia huku fanya ivii...
1-Chukua chupa yoyote ya kioo lakini maana mlivyo ma bogaz mnaeza mkachukua za maji ya uhai.
2-chukua nyundo au jiwe na weka chupa yako sehemu nzuri.
3-ipasue isage sage adi iwe chenga chenga.
4- Kama una hasira sana unaweza ukai bwia kwavu kavu ila kama unaumia ndani kwa ndani unaweza ukaikologa halafu ukanywa taaratibu.
Cc#wanafikiwote #wakekwawaume .
Unaanzaje kupigwa ban sasa na kukosa mambo mazuri hapo mbele??
Jaman kiba fans nawashauri. Usipoteze muda wa ku argue na wajinga ambao shule kwao hawaijui.. ni ma jobless...wanao kaa kung'aa ng'aaa kuangalia tumepost nini. Kuna option tuu ya ku ignore kwa nini mtu akuletee mambo ya facebook na wakati huku ni kwa watu wazima?
One love wote mnaomsaport king kiba.
Vyupa vinawahusu wanafiki wote na mnaovizia vizia huku fanya ivii...
1-Chukua chupa yoyote ya kioo lakini maana mlivyo ma bogaz mnaeza mkachukua za maji ya uhai.
2-chukua nyundo au jiwe na weka chupa yako sehemu nzuri.
3-ipasue isage sage adi iwe chenga chenga.
4- Kama una hasira sana unaweza ukai bwia kwavu kavu ila kama unaumia ndani kwa ndani unaweza ukaikologa halafu ukanywa taaratibu.
Cc#wanafikiwote #wakekwawaume .
Mimi sio mnafiki...labda umechanganya mimi sikuwa nasema sio fair kuvote kwa davido au nini
Ishu yangu ilikuwa kuwa kwa manufaa ya muziki sio vema ku entertain uadui kati ya wasanii wetu wenyewe
By the way...Kwa leo nimeamua ku himiza kupigiwa kura kwa Davido kwa sababu muziki wake ni mzuri
Lakini nimeongea kistaarabu kabisa bila kutukana wala kukashifu mtu yeyote..Tofauti kabisa na reaction yako iliyokuja na matusi na kukashifu
Hahahaaaa shoga nilishasikia harufu ya ban nikaona nifanye tuu kazi maana naanzaje kukosa jf kwa ajili ya fool? Akaa mi mwerevu banaa nimemgea CASH nikamwacha anazihesabu nikapita hivii.
CHA MUHIMU CASH YAKE KAIPATA
Jamani aliye muona mtani amwambie namtafuta!
Apo chacha!!
aaah mwenzangu na watupisheeee!!
Tena kama mie anaeniquote kwa upuuzi wake anajisumbua tu namuona data amekazana hapo masikini loooh bora akaandae futari tu!
Heloooow lovely family, missed you guys, kwani nini kinaendelea? Mbona mamluki wengi humu? Mmewashika wapi mpaka watapetape hiviiiiii!!! cute b plzzzzzz!!
Karibu, jimwage kwa mkeka.....subiri futariTena funika kombe mwanaharamu apite.
Yaani mtu ukifanya kumuavoid eti imekuwa unamuogopa hahahaaaa!
Honestly huna haja ya kujibizana na mtu kila siku sometimes you have to let them be.
Inaitwa read btn lines, jiheshimu utaheshimiwa
Tena funika kombe mwanaharamu apite.
Yaani mtu ukifanya kumuavoid eti imekuwa unamuogopa hahahaaaa!
Honestly huna haja ya kujibizana na mtu kila siku sometimes you have to let them be.
Teh teh teh teh mamluki uzalendo umewashinda wanataka kutuharibia Uzi wetu waende kwenye Uzi wao special buuuuuaaana kutofautiana mawazo sio vta buaaaasna.
Very true heshima hainunuliwi tena hapa kuna wababa na familia na wamama.
Toka lini shetani akawa malaika.
Ndio uzalendo gani sasa huu wa kuwafanyia fujo watanzania wenzao?? Hebu kuweni wazalendo bwana
Inaitwa read btn lines, jiheshimu utaheshimiwa
Hahahaaaa mingine hadi inatia huruma yaani, duuuuh stress zingine mbaya jamani, i love this family jamani, ama kweli kizuri chajiuza.