Umegoma kunielewa nisome tena. Wadate au wasidate na kidot hiyo ni juu yao, kinachokera mtu anayesingia mwezi wa Ramadhani page yake kujigeuza kana kwamba yeye ndio PR wa Kidot.
Anyway labda wengine matatizo yetu ni kutumia akili kubwa kwenye mambo madogo saa nyingine ngumu kueleweka.
Mimi nina rafiki yangu Facebook ni public figure na ni mwislamu mwezi wa Ramadhani huwa anadeactivate account yake. Hii ndio imani na siyo usanii
Wa hawa watoto.
Wewe nawe! Mwache asupport watu wanaomsupport.
Itapendeza sana
Ni jambo jema kuonyesha mfano mzuri.Na he shall be nominated for sure.
You i'll never know till you know- C'est lavie.
AliKiba akizungumza na Leo tena ya clouds,anasema hapendezwi na hizi timu,na anaumia sana,anasikitishwa sana,akamalizia na lazima tusapoti vya kwetu
NB:sijui wenye timu zao mnajisikiaje
AliKiba akizungumza na Leo tena ya clouds,anasema hapendezwi na hizi timu,na anaumia sana,anasikitishwa sana,akamalizia na lazima tusapoti vya kwetu
NB:sijui wenye timu zao mnajisikiaje
If you cant fight them! Join them.
Kama umeona Kiba ameshindikana kabisa acha kumsupport.
I still believe in HIM
usisahau kumpa na flavour best live, afu ujiandae na pipa lako la ndimu tar 18 july itakuwa siku ya taifa tunawapiga 3 kavu kama mwaka jana cc. haters wote
Mamy ebu nenda pm chap
Mbona mi hauniitii??!! Lol
Mimi mwenzio na unafki mbalimbali, mtu anayejifanya mwislamu sana mara sijui swaumu mara sijui nyokonyoko leo page yake ya Insta kageuka yeye ndio ofisa uhusiano wa kidoti kurequest warembo wa kujiunga na kidot, hivi haya ndio mafundisho ya uislamu na ramadhani hii?
Ngoja nikutumie mamy nilijua hupend umbea
Nipo tu ndugu niende wapi kwingine nikateseke!!!
Haya nisambazie umbea mie nipate raha!
Nipo tu ndugu niende wapi kwingine nikateseke!!!
Haya nisambazie umbea mie nipate raha!
Wewe nae usituzingue.
Hilo swala la kidoti ni dogo sana wala halina impact yeyote.
Ni sawa na salaamu tu!!