Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

pwilo pwilo pwilo pwilo nakuomba lala mkuu upo kama wadada Wa San siro
Mara abuy4real maraUnju maraZabibu

Wao ndio kina nani kwetu cc

Alafu watu wakiwa serious kama umekos la kutype nenda kapige picha na tuzo zetu zile ili uuze sura ndio mnalo liweza ila kumshauri hamuwezi


Wallah Kiba angekua kaka angu tungekua tumeshagombana na kwake angenifukuza

dah ngoja nile daku nilale mana hii ya leo hii sio ya kawaida ila mkuu mi sina kosa lolote yani ila ok ngoja pepo mbaya apite #KINGKIBA 4REALLY
 
Last edited by a moderator:
yeah lazima aelewe tu maana hamna namna, maana mtu akikupenda sana siku ya kukuhate ni balaa

Tena anakuchukia vibaya mno, bora anayekuchukia toka awali aisee, ila sidhani km tutafika huko, kiba atatuelewa tu
 
Naona umeenda kusaka TBT za kutosha

Angalia jinsi anavyomjibu cabbo utafikiri hayupo timamu vile

Iyo ya fally ipupa c kaipost kuonesha kua Kiba ajielewi licha ya kukubarika na bwana Robert Ila bado maskin

Badilika pwilo unampoteza kibanio wako

Hizi TBT na picha za r.kelly zimekua sababu ya sie kuonekana kama mazuzu.
 
Last edited by a moderator:
Hizi porojo hatutaki bali tunataka kuona kazi ikiwa on fire, hizo coming soon zenu za miezi 6 tumezichoka

Hiyo ya r.kelly tena ndio asiitumie kabisaaa maana ilikuwa bonge la chance kakajibweteka tu, sasa ataishia kuangalia tbt tu na akicheza na hizo tuzo 6 zitakuwa tbt muda sio mrefu
 
Hizi TBT na picha za r.kelly zimekua sababu ya sie kuonekana kama mazuzu.

Ye akubali tu kuwa hiyo ishakuwa history now, ilikuwa bonge la golden chance kwake ila mswahili wetu huyu sasa akajua ndio ashaimaliza dunia, yaani hii chance huyu kiba ataijutia maisha.
 
Ye akubali tu kuwa hiyo ishakuwa history now, ilikuwa bonge la golden chance kwake ila mswahili wetu huyu sasa akajua ndio ashaimaliza dunia, yaani hii chance huyu kiba ataijutia maisha.

watu kama kina somji hawaonekan kabisa japo alikuwa mstari wa mbele, anakatisha tamaa
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1434916334946.jpg
    1434916334946.jpg
    71.5 KB · Views: 75
  • 1434916369833.jpg
    1434916369833.jpg
    52.8 KB · Views: 71
  • 1434916390551.jpg
    1434916390551.jpg
    55 KB · Views: 70
  • 1434916418817.jpg
    1434916418817.jpg
    30.8 KB · Views: 71
watu kama kina somji hawaonekan kabisa japo alikuwa mstari wa mbele, anakatisha tamaa

Wametuterekeza wenyewe.
Ila tutafika tuu.
Maskini Juma somji ukute aliona aibu macollabo yote hayajatimia hata moja mwezi wa kumi sasa.
 
Last edited by a moderator:
we boya umefata nn huku we c timu domo hebu soma hapa hfu ndo ucoment huo upuuzi wako #pop it in #yoooooo

Mweeeeh tuliwaambia kama hawana cha maana cha kuongea wapite kimya tu, mbona Kidingi kashusha nondo tu tumemuelewa!!! Huyu naye sijui ana shida gani aisee hata mambo ya msingi analeta ushabiki
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom