Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

yaani anashindwa hata na huyu malaika katoa wimbo na video yake, kama vp asitoe audio atoe video tu, mambo gani haya analeta

Tatizo anatishia kujamba wakati anaharisha, mbona adam juma anatoa video bomba tu, km uwezo hauruhusu bado why ajitutumue mwisho anaharibu? Video ni muhimu mnooo now, hata wife wa dunia baada ya kuvuja alitakiwa aiachilie booonge la video fastaaa, ila wimbo mtamuuuu kauacha ukapotea hivihivi!!!
 
pwilo pwilo pwilo pwilo nakuomba lala mkuu upo kama wadada Wa San siro
Mara abuy4real maraUnju maraZabibu

Wao ndio kina nani kwetu cc

Alafu watu wakiwa serious kama umekos la kutype nenda kapige picha na tuzo zetu zile ili uuze sura ndio mnalo liweza ila kumshauri hamuwezi


Wallah Kiba angekua kaka angu tungekua tumeshagombana na kwake angenifukuza
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa njoo mamii atatukoma mwaka huu

Yaani now ushabiki tuweke pembeni hadi atuelewe huyu, kila mahali tukiingia ni kumpa changamoto tu mpaka ajielewe, ye si anajitoa akili!! Sasa sie ni kumpa ukweli ataelewa tu
 
ila atoto leo tumeanza muda, tulikuwa watatu tu na abou, wadau wameongezeka sasa imekuwa hatari

Yeah safi sana abou kwa kulianzisha hili, mwanzo nilikuwa sijamuelewa ujue, ila i told u he has something big hataki tu kufunguka, now you see every thing is naked, na kiba lazima atuelewe tu anadhani mziki ni wa familia huu!!
 
Last edited by a moderator:
duh haya poa bhana ila najua msg ataipata

Aupate Mara ngapi tifu tifu lililotokea insta huko mpaka aka kameneja kakaelewa kazi yetu
 

Attachments

  • 1434913951545.jpg
    1434913951545.jpg
    18.4 KB · Views: 76
Yeah safi sana abou kwa kulianzisha hili, mwanzo nilikuwa sijamuelewa ujue, ila i told u he has something big hataki tu kufunguka, now you see every thing is naked, na kiba lazima atuelewe tu anadhani mziki ni wa familia huu!!

yeah lazima aelewe tu maana hamna namna, maana mtu akikupenda sana siku ya kukuhate ni balaa
 
Last edited by a moderator:
C mlikua mnajadili mtv nyie ?
Nimekuja kuwaamsha tu na daily ninawachora tu

Aaaaah abou bwana si tunakuwaga wote? Haya ni marudio tu km unakumbuka hapo nyuma tulishampa ukweli km huu kiba na tuliongea sn angalia humu humu utaona, sema tulivyoacha tukaamua tumpe sapoti sasa, ila sasa naona sapot anayopata ana i-miss use
 
Aupate Mara ngapi tifu tifu lililotokea insta huko mpaka aka kameneja kakaelewa kazi yetu

Mweeee hicho kiingereza sasa ngachoka mie, ndio wastuke sasa wajue its abt time they know the truth.
 

Attachments

  • 1434914309677.jpg
    1434914309677.jpg
    43.9 KB · Views: 72
  • 1434914337980.jpg
    1434914337980.jpg
    28.8 KB · Views: 66
  • 1434914374843.jpg
    1434914374843.jpg
    39.3 KB · Views: 69
  • 1434914395227.jpg
    1434914395227.jpg
    49.4 KB · Views: 67
sawa nyi mnaharaka sanaa yani #kebekebe #kiba junior hasira sio nzuri #ROCKSTAR 4000


Naona umeenda kusaka TBT za kutosha

Angalia jinsi anavyomjibu cabbo utafikiri hayupo timamu vile

Iyo ya fally ipupa c kaipost kuonesha kua Kiba ajielewi licha ya kukubarika na bwana Robert Ila bado maskin

Badilika pwilo unampoteza kibanio wako
 
Last edited by a moderator:
Calm down peterchoka achana na pwilo bwana, ndio hawahawa wanaomkwamisha kiba, eti subiri tu until when? Hivi muda wote tulosubiri jamani bado tu!! Haya sasa tunampa muda sasa abadilike for real aache ufekelo.

dah nyie mi ninauchungu kushinda hata huo wakwenu sema hamnioni tu ila ngoja niache tu maana #kebekebe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom