Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Dah kiba kama anapitia hapa basi atusikie fans wake, Tuzo 6 za Kill ni kick nzuri ya yeye kupandia kuelekea anga za kimataifa dah.. unatuangusha kiba thus why tunaonekana ni mahater tu.
kiba anashindwa kutumia fursa hiyo. mashabaki wake tunavumilia sana. anazingua sana sasa.