Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Very true wakati ni sasa wa kutumia opportunity inayo kuja kwa kuchangamka na kwenda na situations ilivo.
Sijui kwanini aliwapuuzia richgang opportunity ni opportunity angeitumia kujiongeza financially zaidi na sio mengine kabisa.
Ni kweli hizi timu hazitabiriki kabisa afanye kazi kwa bidii zaidi kujiimarisha.
Kweli Kiba hajui maana ya hela.

hiyo ya richgang ilinipita, hebu nijuze Diva
 
Last edited by a moderator:
Nadhani umenisoma.
Ila sisi tupo pamoja naye.Asitusinoneshe sana.

Yani tuta mu support kwa kila jambo mi tangu enzi za macmuga.He real need to be active Kiba anapendwa na watu wengi. Yuko humble na anaweza Ku go extra miles mana ana support kubwa.
 
pwilo Kiba pamoja na ukimya ila ana uzubaifu fulani hiyo ni kweli kabisaa, na ukichangia na hiyo management bubu yake ndio kabisaaaa, hebu basi achangamke sasa, inaelekea upo karibu nae, hebu msimjaze sifa tuuu bila kusahau kumshtua aendane na soko, ila kwa utaratibu ili asiharibu

msijali mi kauli yangu ni kwamba tusubirie swaumu ipite mtafrahi over #kebekebe
 
Last edited by a moderator:
tulieni alete vitu au mnataka akurupuke hadi aimbe mduara msimfanyie hivyo ila ila kiba jeuri sana mpaka cabosnop amechoka kukaa na kollabo yake #kebekebe

Cabo snop aliomba colabo hivi iliishia wapi? Aliiachia ile fursa hivihivi!! Mmmh mayb management ilikataa, mie bado nalia na management, hivi yeye haoni kama management yake ina shida?
 
mkuu kwani kiba ana a/c moja insta hilo lakutumfollow hta mtu mmoja cliafiki kabisaaa mtu anaweza kuwa nazo nyingi sana ila ile ndo official # Kebekebe

Unajuwa katika kazi yako huwezi ukawa unapatana na kila mtu, ila kuna baadhi ya vitu ni vidogo na kama havina maana hivi lakini vinaumuhimu wake na kuna watu wanachukulia serious... Nilimsikia yeye anasema amewafollow watu kwenye twitter lakini kwanini asifanye hivyo na insta, na usinambie kwa ile fanpage coz kawafollow watu wachache saana...
 
Hahahaaaa!! Video tulijitengenezea vichwani mpaka imechuja, hii strategy yawezekana alipoifikiria ilikuwa nzuri ila sasa naona kulingana na soko imefail, he has to change, inachukua muda mnooo kutoa video.Japo wimbo bado mtamu ila video imechelewa sana

wacha tu...nko naishi namoja ya team tandale ananipigia kelele kla day bt ntafanyaje..na hili boga letu tushalikubali..
 
Afanye lolote la kumfanya a move forward kwanza yeye mwenyewe kwenye muono wake anajiona anataka kufika level gani. Kuiga ni kuzuri ila kusema eti utumie njia alizotumia flani huwezi jua huyo alitumia nini hadi kufika alipo.
Naona awe active na serious na kazi ya muziki afanye vtu at right time,right place am sure he will progress.

Kweli kabisaaaaa, atumie fursa vizuri kusonga mbele, inatakiwa afikirie mbali zaidi
 
mkuu kwani kiba ana a/c moja insta hilo lakutumfollow hta mtu mmoja cliafiki kabisaaa mtu anaweza kuwa nazo nyingi sana ila ile ndo official # Kebekebe

Kiba account yake ni officialalikiba
Izo zengine haziwezi kufanya aonekane yy co jeuri kutokuwafollow wasanii wenzake
 
Last edited by a moderator:
Cabo snop aliomba colabo hivi iliishia wapi? Aliiachia ile fursa hivihivi!! Mmmh mayb management ilikataa, mie bado nalia na management, hivi yeye haoni kama management yake ina shida?

Management yake ina jina kubwa sana, lakini hivi kuna msanii gani ambae anasumbua afrika anaesimamiwa hapo? biashara muda mwingine inahitaji uswahili na vitu vingivingi, kwa mfano kuwa na kazi hata tatu zilizokamilika ili tu kuhakikisha mda wowote kuna uhitaji wa new release ifanyike mda muafaka..

Na tatizo lingine si kila mtu anasikiloza redio, sikuhizi tv zinatumika sana pia, so kunakuwa na umuhimu saana wa video kutoka mapema hasa kwa soko la nje ya nchi..
 
wacha tu...nko naishi namoja ya team tandale ananipigia kelele kla day bt ntafanyaje..na hili boga letu tushalikubali..

Hahahaaaa!! Weee usiombeee wana makelele hao, kuna mmoja ananichoshaga ila ndio nitafanyaje ni rafiki yangu, akianza anaongea huyooo alafu hana hata point ila sasa ana kelelee!! Kiba atutendee haki tuondokane na hizi balaa zisizo za lazima
 
wacha tu...nko naishi namoja ya team tandale ananipigia kelele kla day bt ntafanyaje..na hili boga letu tushalikubali..

vitu vidogo hivyo penda pande zote, ila zidisha upande mmoja hautapata shida.. unaweza kuwa mchawi hivihivi kumbe ni vitu vidogo saana..
 
msijali mi kauli yangu ni kwamba tusubirie swaumu ipite mtafrahi over #kebekebe

Swaumu kwani ina nini?

Umeikazania swaumu ww
Ngoja nikupe
Kasema hivi
'Siwezi kutoa chekecha video Leo alafu swaumu ikipita niachie wimbo mwengine coz nitaingia loss nitasubir miezi 2 au 3 mbele ili niachie new project " so mashabiki msubili mpka miezi hyo 2 ipite

Na uache kuwapoza cjui subilieni swaumu ipite mtainjoi waambie "subilini baada ya miezi 4 project ya collabo itaanza "

Am Done
 
Unajuwa katika kazi yako huwezi ukawa unapatana na kila mtu, ila kuna baadhi ya vitu ni vidogo na kama havina maana hivi lakini vinaumuhimu wake na kuna watu wanachukulia serious... Nilimsikia yeye anasema amewafollow watu kwenye twitter lakini kwanini asifanye hivyo na insta, na usinambie kwa ile fanpage coz kawafollow watu wachache saana...

Hivi hilo la kutufollow wenzie nini explanation yake kwa hilo?? Alitarget nini haswaaa! Maybe aliogopa pressure
 
Back
Top Bottom