Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Tatizo hata kurudi aikua ridhaa yake

Wadada wachache kama wastara walianzisha kampeni instagram " bring back our Kiba" watu wengi wakairepost

After two weeks akamfata didas ambaye alianzisha kampeni ile kua am back for real
Akatoa mwana watu wakaipokea
Maneno mengiiii kama mtu Wa pwani vile

kama haikuwa ridhaa yake kwanini alikubali sasa. itabidi afanye kazi hasa ila mashabiki wake tufurahi
 
Kwani mkuu yeye kiba amesema msimamo wake kuhusu iyo video ni nini? Ebu weka mambo wazi mkuu wangu coz mi mwenyew sipendi lakini lazma tujue ni kipi haswa kinachomsumbua kiba ni hela au ni nini..
Coz mi najua wazi mtu ukiwa na hela unaweza kufanya kila kitu ila ukiwa hauna hela haujui ata pa kuanzia

Hana hata shida ya pesa
Mi nahisi naturally ana tatizo na halina tiba

Video mara ipo kwa director Mara aseme ipo tayari haeleweki
 
Tunaroho ngumu sisi zaidi ya Paka.
Ndio maana nikiwaona wasengerema wananitikisa huwa nawaonea huruma tu.Hawajui nimejitoaje yani.
Kiba needs to react.Anatutia machungu.

huyu kiba namkubali sana. ndo maana hata kwenye uzi unamponda kiba huwa sichangii naweza tukana mtu. tuna roho ngumu sana.#kingkiba
 
Dont tell me!! Kumbe alishaamua kuacha muziki!! Kweli aliamua kile kipaji kipotee hivihivi, there is something wrong with this guy aisee, kweli inatakiwa ajivunie fans alio nao

tena ajivunie sana. tunavumilia mengi sana
 
Hana hata shida ya pesa
Mi nahisi naturally ana tatizo na halina tiba

Video mara ipo kwa director Mara aseme ipo tayari haeleweki

Mi nakwambia lazma itakuwa ni issue ya pesa mkuu.
Ila tusimlaumu sana acha tuone plan zake ni zipi
 
kweli ulilosema.. Ila ninapenda upendo wa mashabiki kwake ni vizuri sana.... muda mwingine huwezi jua kinachoendelea nyuma ya pazia patience is all that counts...

Nadhani muda wote huu atakuwa anajifunza kitu, na sidhani kama anaridhika na attention ya watu tu...

Haya ndio ulokuwa unatakiwa kuongea Kidingi tokea awali ila sasa zile sifa zako khaaaah!! Kiba ana mashabiki wavumilivu sn, ni kweli wanampenda aisee
 
Last edited by a moderator:
Unaposema kama domo unakosea
Afanye kama wengine wanaofanya kazi kama yake na wakafanikiwa.
Hususan akipost vitu vinavohusiana na kazi yake.
Publicity is publicity wether bad or good.Seuze ukifanya good!
Je kwanini hamfollow mtu hata mmoja?
Unadhani inamsaidia??

Kwani hata akifanya kama domo as long as ni kitu kizuri shida iko wapi?? Hakuna ubaya kuiga mambo mazuri maana hata huyo d kaiga kwa mwingine, hii ya kuogopa kuwa ataonekana kaiga nayo ni tatizo, mafanikio mengi duniani watu wanafanya kwa kuiga, hata waanzilishi wa jf hapa tunapopata burudani na elimu waliiga kutoka mahali so sio vibaya.
 
Mi nachojua kuna mambo mazuri yanakuja.
Ila awe mwangalifu, wakati yeye anaangalia kufika kwenye 8 wenzie wanafikia 1.
Very bad ni kosa kabisa kujilinganisha nao.Sijui kama unanielewa.

Inatakiwa afanye kwa nafasi yake, taratibu tu atafika, kama atazungukwa na watu wanaomsukuma kufikiria positive na kusonga mbele i know atafanya makubwa sana, aitumie hii fan base alojijengea vizuri asije haribu, we are here to support him
 
Kiba anahitaji management itakayomshtua, lasivyo atakuwa historia soon, he has a long way to go bado, asijeridhika na hizi sifa tunazompa akalewa akalala tena, muziki huu inatakiwa aufanye kibiashara sio kifamilia aisee, kama ni mdogo wake ashambeba sana mpaka kajisahau kuwa na yeye ana deni la kulipa kwa fans wake, aamke sasa.

Well said.
 
Kwani mkuu yeye kiba amesema msimamo wake kuhusu iyo video ni nini? Ebu weka mambo wazi mkuu wangu coz mi mwenyew sipendi lakini lazma tujue ni kipi haswa kinachomsumbua kiba ni hela au ni nini..
Coz mi najua wazi mtu ukiwa na hela unaweza kufanya kila kitu ila ukiwa hauna hela haujui ata pa kuanzia

Hivi unajua hata sisi mashabiki tuna mchango ktk hili, nahisi kiba alivyorudi tulimpa bichwa sana na nafasi ambayo alitakiwa aifikie taratibu sasa hili ndilo linamcost, tunampa pressure sio kidogo, pressure ni nzuri ili apate hasira ya kufanya mazuri ila sasa ni too much, hii madhara yake tumeyaona hata kwa d, sasa inatakiwa awe makini mnooo ktk kufanya lililo sahihi kwa wakati sahihi
 
Inatakiwa afanye kwa nafasi yake, taratibu tu atafika, kama atazungukwa na watu wanaomsukuma kufikiria positive na kusonga mbele i know atafanya makubwa sana, aitumie hii fan base alojijengea vizuri asije haribu, we are here to support him

duh! I believe he will overcome someday
 
huyu kiba namkubali sana. ndo maana hata kwenye uzi unamponda kiba huwa sichangii naweza tukana mtu. tuna roho ngumu sana.#kingkiba

Yani hizi roho ngumu zetu ni mtaji tosha sana
D ana uwezo mkubwa wa kutumia situation at his advantage.
Kawaacha richgang na offer yao wamepita tu.
Ukiwa mfanyabiashara ya muziki unakupaswa uwe mjanja kama mangi aisee.
Team wema sio watu wa kuwategemea.
Angewatumia kibiashara muda huu kabla hwajamgeuka.
Asifanye kosa la kuwategemea akumbuke mwaka jana na juzi waliku haters wake.
 
Inatakiwa afanye kwa nafasi yake, taratibu tu atafika, kama atazungukwa na watu wanaomsukuma kufikiria positive na kusonga mbele i know atafanya makubwa sana, aitumie hii fan base alojijengea vizuri asije haribu, we are here to support him

duh! I believe he will overcome someday, kama tulivyotoa ushauri akarudi, pia tutoe ushauri wa kumjenga
IMPOSSIBLE IS POSSIBLE
 
Kwani hata akifanya kama domo as long as ni kitu kizuri shida iko wapi?? Hakuna ubaya kuiga mambo mazuri maana hata huyo d kaiga kwa mwingine, hii ya kuogopa kuwa ataonekana kaiga nayo ni tatizo, mafanikio mengi duniani watu wanafanya kwa kuiga, hata waanzilishi wa jf hapa tunapopata burudani na elimu waliiga kutoka mahali so sio vibaya.

Now you are talking.
Kwanini asiige mazuri ya domo?
Anaiga kuwatumia team Wema tu wakati wao wapo mentally unstable kabisa.
 
Hivi unajua hata sisi mashabiki tuna mchango ktk hili, nahisi kiba alivyorudi tulimpa bichwa sana na nafasi ambayo alitakiwa aifikie taratibu sasa hili ndilo linamcost, tunampa pressure sio kidogo, pressure ni nzuri ili apate hasira ya kufanya mazuri ila sasa ni too much, hii madhara yake tumeyaona hata kwa d, sasa inatakiwa awe makini mnooo ktk kufanya lililo sahihi kwa wakati sahihi
atoto, wakati sahihi ndio huu.
Ungekua sio wakati sahihi basi angeendelea na maisha yake mengine atuwache sisi.
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa na kipaji kama alikiba hutakiwi kujipanga kihivo, naamini ni jeshi lililo tayari muda wowote..

But tatizo linapokuja, muziki wa tz kidogo naona kama mashabiki wanafurahi zaidi msanii anapoweza kutoboa kimataifa.. lakini ukumbuke pia investment kipesa inatakiwa ifanywe ya maana, na mda wote alipokuwa kimya sidhani kama alikuwa na source kubwa ya kipato kama muziki...

Nadhani muda unavyodhidi kusogea mambo yanazidi badilika, hiyo video ya chekecha imefanyika sawa tena na director mzuri saana, so ni kiashiria kizuri (tatizo tu kwanini haitoi? au ramadhani kwa wenzetu waislamu?)

Ndio wasanii wajifunze sasa wafanye kazi kibiashara, na hata wajiwekeze ili majina yao yalingane na financial base zao, Kiba financialy anaonekana kabisaa hayuko vzr, na hii yote inasababishwa na yeye mwenyewe kutochangamkia fursa zilizo mbele yake, angekuwa hard worker aisee angekuwa mbaaali mnoooo, ila kila kitu hutokea kwa wakati, achangamkie fursa sasa asilale tena akisubiri compaign ya "bring back" maana golden chance never comes twice.
 
Watu design yako bwana pwilo ndio waliomzinguka Kiba

Hatufiki tuendako kama washauri wenyewe ni mfano wako ww

Unatetea mpka upumbavu badirika bro
Panapo bidi kukosoa kosoa tu

we abou c nimeeleza udhaifu wake au ndo nikasema tusubirie swaumu ipite tuone c ndo walivyosema watu wake wa karibu tusubirie hayo mambo yatamfanya aimbe taarab kama upande wa pili cc tunataka vitu quality #kebekebe
 
Last edited by a moderator:
Director Wa ile video n fundi kuliko hata uyo mungu baba
Ila nkiitazama dressing code ya chekecha cheketua
Tayari napata majibu ya kutosha

Sasa kumbe video iko tayari!! What are they waiting for?? Usiniambie video wameharibu!!
 
Yani hizi roho ngumu zetu ni mtaji tosha sana
D ana uwezo mkubwa wa kutumia situation at his advantage.
Kawaacha richgang na offer yao wamepita tu.
Ukiwa mfanyabiashara ya muziki unakupaswa uwe mjanja kama mangi aisee.
Team wema sio watu wa kuwategemea.
Angewatumia kibiashara muda huu kabla hwajamgeuka.
Asifanye kosa la kuwategemea akumbuke mwaka jana na juzi waliku haters wake.

umeongea point sana. kiba awe mwepesi kutumia fulani fursa kama hizi. tena sana manake wale wafata upepo team wema. #kingkiba anatakuwa ajipange vizuri sana kama anataka kufika mbali
 
Back
Top Bottom