Kwa kipaji tu cha utungaji na uimbaji anacho jamani, thats why i love him and i'll always, ila sasa achangamke kipaji tu hakitoshi, hiyo video alishindwa nini kuitoa kabla ya ramadhani maana ni muda tangu wimbo utoke alafu baada ya ramadhani aachie kitu matata tena?
He has to change pwilo we have allready waited for so long na anatakiwa ajivunie hilo, ila sasa asijekurupuka akaharibu, aende tu kwa step atafanya poa tu.
Management yake ina jina kubwa sana, lakini hivi kuna msanii gani ambae anasumbua afrika anaesimamiwa hapo? biashara muda mwingine inahitaji uswahili na vitu vingivingi, kwa mfano kuwa na kazi hata tatu zilizokamilika ili tu kuhakikisha mda wowote kuna uhitaji wa new release ifanyike mda muafaka..
Na tatizo lingine si kila mtu anasikiloza redio, sikuhizi tv zinatumika sana pia, so kunakuwa na umuhimu saana wa video kutoka mapema hasa kwa soko la nje ya nchi..
Kiba ni stress tuu acha nikaweke gambe
Hahahaaaa!! Video tulijitengenezea vichwani mpaka imechuja, hii strategy yawezekana alipoifikiria ilikuwa nzuri ila sasa naona kulingana na soko imefail, he has to change, inachukua muda mnooo kutoa video.Japo wimbo bado mtamu ila video imechelewa sana
Cabo snop aliomba colabo hivi iliishia wapi? Aliiachia ile fursa hivihivi!! Mmmh mayb management ilikataa, mie bado nalia na management, hivi yeye haoni kama management yake ina shida?
ok message sent #abuy4real1
Swaumu kwani ina nini?
Umeikazania swaumu ww
Ngoja nikupe
Kasema hivi
'Siwezi kutoa chekecha video Leo alafu swaumu ikipita niachie wimbo mwengine coz nitaingia loss nitasubir miezi 2 au 3 mbele ili niachie new project " so mashabiki msubili mpka miezi hyo 2 ipite
Na uache kuwapoza cjui subilieni swaumu ipite mtainjoi waambie "subilini baada ya miezi 4 project ya collabo itaanza "
Am Done
ok message sent #abuy4real1
Kiba ni stress tuu acha nikaweke gambe
Hyo ya richgang walitoa offer ka anahitaji msaada wowote awa consult. Sasa naona Kiba akakaa kimya wakati hyo ni support.
Hyo ya richgang walitoa offer ka anahitaji msaada wowote awa consult. Sasa naona Kiba akakaa kimya wakati hyo ni support.
m
no yani cabosnop aliituma insta hafu akaandika "hey brother officialikiba i want to talk with u "ila kiba hakujibu jeuri sana kiba yule msimamo wa akili yake ni imaraa cjui anawaza nn some tmz ok good things are coming #kebekebe