Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,592
- 15,484
awe msikivu banah...amvute wizkid afanye kazi hii itakua combinenga ya hatar xana...tunsubir ngoma/vdeo hadi tunapauka....
Hadi tunazeeka.
awe msikivu banah...amvute wizkid afanye kazi hii itakua combinenga ya hatar xana...tunsubir ngoma/vdeo hadi tunapauka....
Kiba ni stress tuu acha nikaweke gambe
i like ur point aisee #abuuu99kibaManagement yake ina jina kubwa sana, lakini hivi kuna msanii gani ambae anasumbua afrika anaesimamiwa hapo? biashara muda mwingine inahitaji uswahili na vitu vingivingi, kwa mfano kuwa na kazi hata tatu zilizokamilika ili tu kuhakikisha mda wowote kuna uhitaji wa new release ifanyike mda muafaka..
Na tatizo lingine si kila mtu anasikiloza redio, sikuhizi tv zinatumika sana pia, so kunakuwa na umuhimu saana wa video kutoka mapema hasa kwa soko la nje ya nchi..
Uwiii abou kweli leo umeamua, kwahiyo ndio kusema video ya chekecha is history now?? Hivi hyu Kiba anajiamini nini? Tumemjaza upepo kiasi hicho hadi ajiamini hivyo!! Aiseeee inatakiwa ajitathmini hizo kauli zake zitamponza, aangalie yanayomkuta mwafulani now ni sababu ya kauli ambazo wanaona ni nyepesi kumbe nzito mnoooo.
Yeyote anayetetea Ally Kiba asikosolewe atakuwa na matatizo kwenye mfumo wa kufikiri, madhumuni ya special thread hii ni kumshauri na kumkosoa kwahiyo wadau wanaomkosoa Kiba wapo sahihi kwa 100%.
Kiba bado mshamba sijui ni utoto au ni nini tatizo lake kama ni support ameshapewa full support anataka nini zaidi? Tumtie madole ya matakoni ndio astuke?
Hivi hawa watoto wanajuwa kina Sugu walivyostragle kuiweka Bongo Fleva mpaka inakubalika? Pamooja na ugumu na vikwazo vyote Sugu kila mwaka alikuwa anashuka na Album moja nzito muziki wa Ghetto. Why this boy kinachomshinda nini na hii ndio kazi yake?
Kiasili mimi ni shabiki wa hiphop lakini kama mpaka nawasupport hawa wabana pua na hawabebeki basi dawa yake ipo.
Cabo snop aliomba colabo hivi iliishia wapi? Aliiachia ile fursa hivihivi!! Mmmh mayb management ilikataa, mie bado nalia na management, hivi yeye haoni kama management yake ina shida?
Swaumu kwani ina nini?
Umeikazania swaumu ww
Ngoja nikupe
Kasema hivi
'Siwezi kutoa chekecha video Leo alafu swaumu ikipita niachie wimbo mwengine coz nitaingia loss nitasubir miezi 2 au 3 mbele ili niachie new project " so mashabiki msubili mpka miezi hyo 2 ipite
Na uache kuwapoza cjui subilieni swaumu ipite mtainjoi waambie "subilini baada ya miezi 4 project ya collabo itaanza "
Am Done
Acha kwanza apoteze mashabiki ndo atashika adabu
Pumbaff
Am soree.
Sasa hapo unaona ni sifa au anajiroga?
Too much ego for What???
Hivi wale nao walikuwa serious au stress za kuachwa tu!! Wale nao siwaamini ujue, misaada mingine huwa na majuto baadae aisee
m
no yani cabosnop aliituma insta hafu akaandika "hey brother officialikiba i want to talk with u "ila kiba hakujibu jeuri sana kiba yule msimamo wa akili yake ni imaraa cjui anawaza nn some tmz ok good things are coming #kebekebe
Fact kabisaaaa, video ina umuhimu mkubwa mnoo now thats why d anatoboa japo kwa kipaji hamfikii kiba(usinune tafadhali) ila dogo anaijua biashara tuache ushabiki sifa zake tumpe jamani, na anajua kucheza na fans wake haswaaaa
i like ur point aisee #abuuu99kiba
Management yake ina jina kubwa sana, lakini hivi kuna msanii gani ambae anasumbua afrika anaesimamiwa hapo? biashara muda mwingine inahitaji uswahili na vitu vingivingi, kwa mfano kuwa na kazi hata tatu zilizokamilika ili tu kuhakikisha mda wowote kuna uhitaji wa new release ifanyike mda muafaka..
Na tatizo lingine si kila mtu anasikiloza redio, sikuhizi tv zinatumika sana pia, so kunakuwa na umuhimu saana wa video kutoka mapema hasa kwa soko la nje ya nchi..
Hahahaaaaa! Acha hizo mdogo wangu gambe likiisha je??
Tuendelee tu kumshtua huyu mtu wetu atastuka tu, hii management yake ya home ndio shida
Sanaaaaa, we muache ajisahau tuje tumhame ndio akili itamjia, ila anavyotiaga huruma yule atalia walah, sijui anajivunia nn haswa yule mtu