Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Sikiza pwilo nikwambie.
ALI KIBA HATUTENDEI HAKI MASHABIKI WAKE.
Kama huoni hilo basi wewe una mahaba mpaka mahaba yanakuogopa.

dah c nimekubali jamani post zilizopita wadau au kosa nikusema tusubirie swaumu ipite mtafrahi hahahaha just relax my fellow fans $kebekebe
 
Last edited by a moderator:
dah c nimekubali jamani post zilizopita wadau au kosa nikusema tusubirie swaumu ipite mtafrahi hahahaha just relax my fellow fans $kebekebe

Ngoja tusubuiri.
Ingawa biashara haimsubiri yeye.
 
Kweli mkuu hizo collabo nasikia zipo.
Ila mfano iyo yake na fally ipupa toka mwaka jana naisikia tu

tulieni alete vitu au mnataka akurupuke hadi aimbe mduara msimfanyie hivyo ila ila kiba jeuri sana mpaka cabosnop amechoka kukaa na kollabo yake #kebekebe
 
Hatusemi hana kipaji, hatusemi ni mbaya.Sijui kati yake na watu anaofanya naye kazi nani anamrudisha nyuma.
Angetumia mtaji huu wa kuwapa fans kitu wanachotegemea hakika angepata faida kubwa sana
Fans are powerful resource. Sisi ndio wateja wake.
Angejiongezea fans na umaarufu.sasa yeye anafanya vitu jama yupo kwenye ulimwengu wake.
Hakuna mashabiki loyal kama sisi.Wengine wanatuita tuna roho ngumu...wapo sahihi.

yani kiba bwana akili zake zinamsimamo sana ilike it good thing are coming #kebekebe
 
kweli ulilosema.. Ila ninapenda upendo wa mashabiki kwake ni vizuri sana.... muda mwingine huwezi jua kinachoendelea nyuma ya pazia patience is all that counts...

Nadhani muda wote huu atakuwa anajifunza kitu, na sidhani kama anaridhika na attention ya watu tu...

Mashabiki wake tu die hard fans no matter what.
Ni kweli tunaweza kulaumu lakini hatujui behind ana face challenges gani.
Hawezi kuridhika kirahisi inabidi aamke sasa.
Hafu na wewe ukiacha mihemko una point nzuri tu sijui nini hukuingia Kidingi.
 
Last edited by a moderator:
tulieni alete vitu au mnataka akurupuke hadi aimbe mduara msimfanyie hivyo ila ila kiba jeuri sana mpaka cabosnop amechoka kukaa na kollabo yake #kebekebe

oya pwilo usitetee tu kila jambo, hii video tumeisubiria kwa muda mrefu na kwa ham kubwa, sasa kama ww unamjua huyo kiba au ndo ww mwenyewe ujue tunataka mabadiliko
CHANGE IS NOW!
 
Last edited by a moderator:
Yani hizi roho ngumu zetu ni mtaji tosha sana
D ana uwezo mkubwa wa kutumia situation at his advantage.
Kawaacha richgang na offer yao wamepita tu.
Ukiwa mfanyabiashara ya muziki unakupaswa uwe mjanja kama mangi aisee.
Team wema sio watu wa kuwategemea.
Angewatumia kibiashara muda huu kabla hwajamgeuka.
Asifanye kosa la kuwategemea akumbuke mwaka jana na juzi waliku haters wake.

Hahahaaaaaa!! Yaani team wema sio watu wa kuwategemea kabisaaaa wale ni bendera fuata upepo, wanafuata bosi wao alipo inatakiwa awatumie sana now for his advantage maana wale dkk mbili mbele, ila hiyo management ndio mie nalia nayo, yani ovyo kabisa hawajui thamani ya kipaji cha kiba? Ila tz kuna tatizo kubwa mnooo na mameneja ndio maana muziki hata hsukui.
 
duh! I believe he will overcome someday, kama tulivyotoa ushauri akarudi, pia tutoe ushauri wa kumjenga
IMPOSSIBLE IS POSSIBLE

Ni kweli kabisaaaa, na kiba ana bahati sn ila hajui tu, anatakiwa hii nafasi aitumie ipasavyo aisee la sivyo ataanza kutafuta wachawi, aache kufanya muziki wa mazoe sasa, aende na soko linavyotaka sasa
 
Unaposema kama domo unakosea
Afanye kama wengine wanaofanya kazi kama yake na wakafanikiwa.
Hususan akipost vitu vinavohusiana na kazi yake.
Publicity is publicity wether bad or good.Seuze ukifanya good!
Je kwanini hamfollow mtu hata mmoja?
Unadhani inamsaidia??

mkuu kwani kiba ana a/c moja insta hilo lakutumfollow hta mtu mmoja cliafiki kabisaaa mtu anaweza kuwa nazo nyingi sana ila ile ndo official # Kebekebe
 
Yani hizi roho ngumu zetu ni mtaji tosha sana
D ana uwezo mkubwa wa kutumia situation at his advantage.
Kawaacha richgang na offer yao wamepita tu.
Ukiwa mfanyabiashara ya muziki unakupaswa uwe mjanja kama mangi aisee.
Team wema sio watu wa kuwategemea.
Angewatumia kibiashara muda huu kabla hwajamgeuka.
Asifanye kosa la kuwategemea akumbuke mwaka jana na juzi waliku haters wake.

Very true wakati ni sasa wa kutumia opportunity inayo kuja kwa kuchangamka na kwenda na situations ilivo.
Sijui kwanini aliwapuuzia richgang opportunity ni opportunity angeitumia kujiongeza financially zaidi na sio mengine kabisa.
Ni kweli hizi timu hazitabiriki kabisa afanye kazi kwa bidii zaidi kujiimarisha.
Kweli Kiba hajui maana ya hela.
 
atoto, wakati sahihi ndio huu.
Ungekua sio wakati sahihi basi angeendelea na maisha yake mengine atuwache sisi.

Ndio maana nikasema "anatakiwa afanye maamuzi sahihi kwa wakati sahihi" yaani aangalie music industry inataka nini aendane nayo, pia aache kujipwekesha pwekesha awe close na wanamuziki wenzie(wale wasio wanafiki tu), maana hii industry ina unafiki balaa
 
Last edited by a moderator:
mkuu kwani kiba ana a/c moja insta hilo lakutumfollow hta mtu mmoja cliafiki kabisaaa mtu anaweza kuwa nazo nyingi sana ila ile ndo official # Kebekebe

Sasa hizo nyingine ni za kikazi?
Mie namwongelea hapa kikazi zaidi.
Kiofficial tu.Account zake nyingine atajua yeye na familia yake.
Tusitetee kila kitu bwana.
 
Very true wakati ni sasa wa kutumia opportunity inayo kuja kwa kuchangamka na kwenda na situations ilivo.
Sijui kwanini aliwapuuzia richgang opportunity ni opportunity angeitumia kujiongeza financially zaidi na sio mengine kabisa.
Ni kweli hizi timu hazitabiriki kabisa afanye kazi kwa bidii zaidi kujiimarisha.
Kweli Kiba hajui maana ya hela.

Nadhani umenisoma.
Ila sisi tupo pamoja naye.Asitusinoneshe sana.
 
Kwani hata akifanya kama domo as long as ni kitu kizuri shida iko wapi?? Hakuna ubaya kuiga mambo mazuri maana hata huyo d kaiga kwa mwingine, hii ya kuogopa kuwa ataonekana kaiga nayo ni tatizo, mafanikio mengi duniani watu wanafanya kwa kuiga, hata waanzilishi wa jf hapa tunapopata burudani na elimu waliiga kutoka mahali so sio vibaya.

Afanye lolote la kumfanya a move forward kwanza yeye mwenyewe kwenye muono wake anajiona anataka kufika level gani. Kuiga ni kuzuri ila kusema eti utumie njia alizotumia flani huwezi jua huyo alitumia nini hadi kufika alipo.
Naona awe active na serious na kazi ya muziki afanye vtu at right time,right place am sure he will progress.
 
halafu ww pwilo usitake kutuzingua bhana, wewe unataka tusubiri hadi lini
 
Last edited by a moderator:
we abou c nimeeleza udhaifu wake au ndo nikasema tusubirie swaumu ipite tuone c ndo walivyosema watu wake wa karibu tusubirie hayo mambo yatamfanya aimbe taarab kama upande wa pili cc tunataka vitu quality #kebekebe

Kwa kipaji tu cha utungaji na uimbaji anacho jamani, thats why i love him and i'll always, ila sasa achangamke kipaji tu hakitoshi, hiyo video alishindwa nini kuitoa kabla ya ramadhani maana ni muda tangu wimbo utoke alafu baada ya ramadhani aachie kitu matata tena?

He has to change pwilo we have allready waited for so long na anatakiwa ajivunie hilo, ila sasa asijekurupuka akaharibu, aende tu kwa step atafanya poa tu.
 
Last edited by a moderator:
Very true wakati ni sasa wa kutumia opportunity inayo kuja kwa kuchangamka na kwenda na situations ilivo.
Sijui kwanini aliwapuuzia richgang opportunity ni opportunity angeitumia kujiongeza financially zaidi na sio mengine kabisa.
Ni kweli hizi timu hazitabiriki kabisa afanye kazi kwa bidii zaidi kujiimarisha.
Kweli Kiba hajui maana ya hela.

hiyo ya richgang ilinipita, hebu nijuze Diva
 
Last edited by a moderator:
bas atoe ngoma mpya maana watu tunasubr had kchwa kinauma...ila ndo hvo tushapenda boga..

Hahahaaaa!! Video tulijitengenezea vichwani mpaka imechuja, hii strategy yawezekana alipoifikiria ilikuwa nzuri ila sasa naona kulingana na soko imefail, he has to change, inachukua muda mnooo kutoa video.Japo wimbo bado mtamu ila video imechelewa sana
 
Back
Top Bottom