Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mmmmh alikujibu hivyo?? Nakumbuka alipost kuwa "ninashukuru nimesikia ushauri wenu and am working on it"
Kwahiyo unataka kila unachomwambia akichukue? Kumbuka ushauri unaotolewa ni mwingi mnooo na watu tofautitofauti na kila mmoja na mtazamo wake, it needs time for him kuchuja which is which, na kumbuka ana management hawezi kujiamulia tu, cha msingi aisuke kwanza management yake vizuri ili iendane na soko la muziki kwa sasa, na unaweza ukute ana malengo yake tofauti kabisaaa na tunavyofikiria, tumpe muda

yani point yao kubwa ni kwanini anachelewesha video basi hamna lingine #kebekebe
 
Na mtavote saaaaaaaaaana hadi kwa chris
brown kwenye grammy awards huku chibu
dangote huyoooooo anazidi tu kupaa anga...

Jana ametoka kushoot video aliyoshirikishwa
hukooo South ambapo kichupa kinatoka wiki hii...
Kasha kwea pippa yupo Mozambique sahivi
kaenda kushoot video nyingine hahaha..
tarehe 3 huyooooo anaanza tour ya mtvmama
awards, atakuwa na show ya kibabe saaaaaana
pale naija huku mnalinda tembo hahahahaha
walahi mtapanick mwaka huu

Mkumbuke tu akimaliza tour ya africa, mwezi wa
tisa anaenda marekani kwaajili ya video shoot na
mmanyema wa mbele yaaaani tunazo ngoma
zenye video tayari yakufanya tuwatapishe kilasiku
kwa miaka mitatu mfululizo na bado tunafanya
yetu... team dangote
oyoooooooooooooooooooooooooooo
oooooooooooooooooooooooooooooo
oooooooooooooooooooooooooooooo
oooooooooooooooooooooooooooo

Mkumbuke tu Taifa lishamtambua kuwa icon
tunasubiri muamze kumtumia kwenye noti
hahaha kama hampendi gademu kufwa for mr.
president dr. chibu dangote, Na unapozungumzia
tanzania unaongelea Mt. kilimanjaro na Diamond
platnumz ,..

taifastars mpira tushakalishwa vitatu sifuri jana, sa sijui mnataka atuwakilishe kibakuli ambae hata hawamtambui kama mwanamuziki, kwa miaka zaidi ya kumi mpaka leo anaota aje kupata hta nomination ya upcoming artist wakati mwenzake ndio among the most argued top five artists in the continent hahahahahaha
 
Mmmmh alikujibu hivyo?? Nakumbuka alipost kuwa "ninashukuru nimesikia ushauri wenu and am working on it"
Kwahiyo unataka kila unachomwambia akichukue? Kumbuka ushauri unaotolewa ni mwingi mnooo na watu tofautitofauti na kila mmoja na mtazamo wake, it needs time for him kuchuja which is which, na kumbuka ana management hawezi kujiamulia tu, cha msingi aisuke kwanza management yake vizuri ili iendane na soko la muziki kwa sasa, na unaweza ukute ana malengo yake tofauti kabisaaa na tunavyofikiria, tumpe muda

yani point yao kubwa ni suala la kuchelewesha video basi hamna lingine sasa hilo ni suala la kubadilisha management c linarekebishika kabisa #kebekebe
 
abou anazngua tu bwana kiba yupo na ataendelea kuwepo subirini swaumu ipite waungwana msijali #abuuu99kiba

Ila hiyo kauli ya "yupo na ataendelea kuwepo" nayo ya kuangalia ujue, time is a bitch ndugu yangu, Kiba needs to deal with time pia, he is very slow kwakweli, ila yawezekana thats the way he is hanaga haraka wala papara(which is good ktk mazingira fulani) ila kuna muda anatakiwa ashtuke, muda umebadilika sana now
 
Ali Kiba aliposema amerudi alimaanisha nini?
Wewe kama shabiki wa Kiba ulikua na mategemeo fulani makubwa, si ndio?
Je unadhani makeke aliorudi nayo na mshawasha aliouweka unaendana na mambo anayoyafanya??.Tuanzie hapo tu....karibuni.Natoa angalizo kwa misukule, sitaki shobo za kisengerema na mtu...
 
Muda wa kusubiri,
Kujipanga na kujiandaa kwa kasi ya sasa na mabadiliko ya soko la muziki na matarajio ya mashabiki ilikua ni kabla hajatoa tamko.
Naona amekua konokono....
Je kweli jina la UFALME linamstahili?
#sihamikambi
 
yani point yao kubwa ni suala la kuchelewesha video basi hamna lingine sasa hilo ni suala la kubadilisha management c linarekebishika kabisa #kebekebe

Na kwenye hii video lazima kuna shida, hii management nayo duuuuh!
 
Kivipi? Explain kidogo basi

Ivi kweli huelewi au unajifanyisha?
Maana yake ni, expectations zilikua kubwa kuliko anachotupatia.
Though kuna mambo makubwa mengi yanakuja taratiiiiiiiiibu yatakuta mtaa wa kati wameshazeeka.
Umri unaenda.
 
Ila hiyo kauli ya "yupo na ataendelea kuwepo" nayo ya kuangalia ujue, time is a bitch ndugu yangu, Kiba needs to deal with time pia, he is very slow kwakweli, ila yawezekana thats the way he is hanaga haraka wala papara(which is good ktk mazingira fulani) ila kuna muda anatakiwa ashtuke, muda umebadilika sana now

mi ni shindwa hata kuwaelewa hawa au wanataka awe kama AY afanye vitu lakini hamna mafanikio cha muhimu kutulia kwanza good things are coming nyie subirini colabo ya wizkidayo chrisbrown na bella wataelewa tu#kebekebe
 
dah maskini kinachomuumiza kiba ni mkimya sana anafanya vitu kwa siri sana mashabiki wanataka hata akiumwa na tandu apost instagram kama domo
 
Muda wa kusubiri,
Kujipanga na kujiandaa kwa kasi ya sasa na mabadiliko ya soko la muziki na matarajio ya mashabiki ilikua ni kabla hajatoa tamko.
Naona amekua konokono....
Je kweli jina la UFALME linamstahili?
#sihamikambi

kwani Ms.Lincoln unajua lolote, nawe atoto vp jamaa bado hajaja pm
 
Last edited by a moderator:
Ivi kweli huelewi au unajifanyisha?
Maana yake ni, expectations zilikua kubwa kuliko anachotupatia.
Though kuna mambo makubwa mengi yanakuja taratiiiiiiiiibu yatakuta mtaa wa kati wameshazeeka.
Umri unaenda.

kiba anatuangusha sana. kipindi kile anasema anarudi me nikajua toa kitu weka kitu. tatizo liko wapi?
 
mi ni shindwa hata kuwaelewa hawa au wanataka awe kama AY afanye vitu lakini hamna mafanikio cha muhimu kutulia kwanza good things are coming nyie subirini colabo ya wizkidayo chrisbrown na bella wataelewa tu#kebekebe

oya we pwilo hizo collabo we umezijulia wapi na kiba yupo kimya, kuweni wawazi wengine tunamkubali kuliko mnavyofikiria
 
Last edited by a moderator:
abou anazngua tu bwana kiba yupo na ataendelea kuwepo subirini swaumu ipite waungwana msijali #abuuu99kiba

Watu design yako bwana pwilo ndio waliomzinguka Kiba

Hatufiki tuendako kama washauri wenyewe ni mfano wako ww

Unatetea mpka upumbavu badirika bro
Panapo bidi kukosoa kosoa tu
 
Last edited by a moderator:
mi ni shindwa hata kuwaelewa hawa au wanataka awe kama AY afanye vitu lakini hamna mafanikio cha muhimu kutulia kwanza good things are coming nyie subirini colabo ya wizkidayo chrisbrown na bella wataelewa tu#kebekebe

Sikiza pwilo nikwambie.
ALI KIBA HATUTENDEI HAKI MASHABIKI WAKE.
Kama huoni hilo basi wewe una mahaba mpaka mahaba yanakuogopa.
 
Last edited by a moderator:
oya we pwilo hizo collabo we umezijulia wapi na kiba yupo kimya, kuweni wawazi wengine tunamkubali kuliko mnavyofikiria

Kweli mkuu hizo collabo nasikia zipo.
Ila mfano iyo yake na fally ipupa toka mwaka jana naisikia tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom