Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Yaani wewe pwilo na abou wote mnaonekana kuna things you both guys know kinachopingana na kila mmoja, hebu tusubiri ramadhan iishe i hope he ll come with something gud, kimya kingi kina mshindo mkuu, msiyumbishwe na kelele za chura mshindwe kunywa maji.

yaani hawa wanatuchanganya tu mshkaji wangu
 
Last edited by a moderator:
Yaani wewe pwilo na abou wote mnaonekana kuna things you both guys know kinachopingana na kila mmoja, hebu tusubiri ramadhan iishe i hope he ll come with something gud, kimya kingi kina mshindo mkuu, msiyumbishwe na kelele za chura mshindwe kunywa maji.

yani mi suala la kuchelewesha video silisapoti ila naupenda ukimya wa kiba na kutokua na papara kama angekuwa na papara hata MWANA na KIBOKO YANGU tungekuwa tushazisahau coz zilirecodiwa mda mrefu ila hakuzitoa leo ndo habari ya mujini #kebekebe
 
Last edited by a moderator:
Sasa album huuzi !!

Na kutoa nyimbo japo tumbili tu kwa mwaka iwe shida?

Punguza mahaba pwilo utakuja kumpga mkeo kisa Kiba ohooo

We abou are you okey kweli today?? Its like there is something wrong with you, okey kabla hatujafika mbali hebu tuachane na siasa tueleze sasa nini mtazamo wako katika hili??
 
Last edited by a moderator:
dah haya bwana ila mi naona kwa mtazamo wangu labda video kweli anazngua ila kutoa manyimbo ovyo ovyo kama domo co system nzuri ok kila mtu na mtazamo wake lakini ila kiba ana colabo na nyimbo nyingi hataki kuziachia kama ya bella kebekebe
pwilo hebu mchimbe abou akueleze inaelekea ana jambo zito sana sio bure kwakweli
 
Last edited by a moderator:
pwilo hebu mchimbe abou akueleze inaelekea ana jambo zito sana sio bure kwakweli

hamna lolote we subiria swaumu ipite utayakumbuka maneno yangu good thing are coming from King worry out (zabibu kiba hayupo Tz guess what next) #King kiba
 
Last edited by a moderator:
Ila bora pwilo nimemuelewa abou bado, ana kitu kizito sn ila sijui anahofu nini kukitua, mie i love Kiba alot as long as anazidi kunikonga roho

usjali kabisaa yani kuhusu king kiba yani zabibu ndo anajua vitu vingi sana vya kaka yake hta nyimbo zake ye ndo anazivujisha insta xo dont worry about kiba he is from another planet #kebekebe
 
Last edited by a moderator:
We abou inaelekea kuna kitu unakijua ila hautaki kukiongelea, hilo shimo unaloongelea sijui kachimbiwa, kachimbiwa na nani? Kila mmoja hufanya mambo kwa utashi na nafasi yake, ushindani sawa ni mzuri ili kumpa mtu hasira ya kufanya mambo mazuri zaidi ila pia hutegemea mtu anauchukuliaje huo ushindani.

Kila siku mnamponda dai kwa kutoa nyimbo kila wakati na zinabuma na sababu ya yote ni hizi hizi pressure, mie naamini wakitulia wakafanya mambo kwa nafasi watafanya vitu vizuri tu.

Ila Kiba upande wa management bado hapajatulia, management ni muhimu sana kwa msanii na akiwa na management mbovu hata kama ni mkali ataonekana hawezi, Kiba needs a good management

Kiba yupo chini ya management bora Africa ambayo ipo karibu na mastaa wakubwa duniani kwa maana iyo yupo vizuri ila local management yake haina tofauti na ngozi ya kenge
 
Last edited by a moderator:
Ila bora pwilo nimemuelewa abou bado, ana kitu kizito sn ila sijui anahofu nini kukitua, mie i love Kiba alot as long as anazidi kunikonga roho
atoto, huyu inaonekana ana info za kutosha, yeye ndo alosema kuwa king yupo US anasuka kolabo, na pia leo ndo kaanzisha hii ishu, nimemwambia afunguke pm napo kimya, yaani angejua jinsi nnavyomkubali huyu kiba
 
Last edited by a moderator:
ni hivi unajua kiba hapendi sifa kila mtu analijua hilo na sio yeye tu ni wasani wote wa zamani hawapendi sifa ndo mana watu wanamuona mpole mkimya mara anazingua na kuhusu management mi nasema pia ipo vizuri ila kuna vitu wanatakiwa wavibadilishe ka hilo swala la video #kebekebe
 
hamna lolote we subiria swaumu ipite utayakumbuka maneno yangu good thing are coming from King worry out (zabibu kiba hayupo Tz guess what next) #King kiba

Zabibu kama hayupo Tz ana maajabu gani ?

Yupo China anajifunza kushoot
Je ilo ndio litamuamsha Kiba ? pwilo kua serious ww mucmbomoe Kiba uku mnamuangalia mkemeeni
 
Last edited by a moderator:
We abou are you okey kweli today?? Its like there is something wrong with you, okey kabla hatujafika mbali hebu tuachane na siasa tueleze sasa nini mtazamo wako katika hili??

Mtazamo wangu ni huu
Ili Kiba Mr Ambassador abadilike
Inabidi mashabiki tujielewe

Kiba has gt immense fan base
Ila hataki kua karibu nao
Hawasikilizi itafika kipindi watakimbia watabaki wachache

Mtu unampa ushaur anakujibu K
K, anamaanisha Kiba&Kidoti
Au kubwa kuliko
 
Last edited by a moderator:
Zabibu kama hayupo Tz ana maajabu gani ?

Yupo China anajifunza kushoot
Je ilo ndio litamuamsha Kiba ? pwilo kua serious ww mucmbomoe Kiba uku mnamuangalia mkemeeni

sasa braza hii thread c ni ya kiba hizo info ziweke hapa tuzijue c ndo maana imeanzishwa hii thread sasa we unaponda tu cc tutakuelewaje ? #ROCKSTAR 4000 PRESENTS
 
Last edited by a moderator:
unajua wasaniii wapo tofauti sana msanii muislam anayefanya kazi mpaka ramadhani ni mmoja tu nadhani ushamjua ila wengne wote wamepumzika xo kiba ye anaheshimu swaumu ndo mana nimesema ngoja swaumu ipite tuone $kebekebe

Uislam unakataza watu kuimba
Anachokifanya Kiba ni ukosefu Wa maneno linasingizia ramadhani

Hivi unafikiri akiachia cheketua video week 2 zijazo izo ngoma cjui collabo mnazolilia c zitatoka January 2016 ? Na video zake July 2016
 
ila swala la kusikiliza mashabiki halafu yeye inakula kwake mwisho mashabiki watasema wanataka atoe nyimbo nyingi mimi ninavyoamini na kinachowasumbua watu ni kumshindanisha domo na kiba wakati kiba wala hashindani na mtu mm simshindanishi ndo mana sina wasiwasi na yeye #kebekebe
 
Uislam unakataza watu kuimba
Anachokifanya Kiba ni ukosefu Wa maneno linasingizia ramadhani

Hivi unafikiri akiachia cheketua video week 2 zijazo izo ngoma cjui collabo mnazolilia c zitatoka January 2016 ? Na video zake July 2016

mkuu mi nakushauri usimshindanishe kiba na domo kisa domo kasema kashamaliza kushot video na
kiba nae atoe ni hivi mkiacha kumshindanisha na domo hayatatokea hayoo unayoyafikiria/kuwaza they are different #King kiba
 
Back
Top Bottom