Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Aitoe tu, na gharama zote hizo? Kama ni kuongea huwezi zuia watu, inasimangwa maiti itakuwa King habari ya watanzania!!! Aitoe tu tucheketue sie, mwenye script yake akaandae nayo movie huko.

Ukipewa nafasi umkosoe Kiba utamkosoa kweli ww?
 
Hivi mara ngapi ni(tu)memkosoa Kiba humu? Sie ukweli wake tunampa tu, abou what are you up to??

Mfanya biashara mzuri husikiliza wateja wake wanataka nini na sio moyo au familia yake inataka nini ?

Nataka Kiba awe wa century hii na sio 7century
 
Last edited by a moderator:
Najiuliza Kwanini Ali kiba kwny account zake hampigii promo Diamond na Vanessa kupigiwa kura kwny tuzo za M.A.M.A kama wasanii wenzie wanavyofanya? #mtazamo tu#

Anachuki yule mtt wa kkoo ye ndo kaleta mambo yote haya na dada yke Wema michirizi cwapendiiii. Haters flani amaizing
 
Mfanya biashara mzuri husikiliza wateja wake wanataka nini na sio moyo au familia yake inataka nini ?

Nataka Kiba awe wa century hii na sio 7century

Sio siri Kiba anazingua sana upande wa video mpaka leo kimya, akikwambia coming soon ujue ni miezi 3 mbele, mfano hapa ilitakiwa hapa awe ametoa ngoma mpya na kichupa chake lakini ndo kwanza bado tunasubiria chekecha video.
 
Nipo chimbo na kundi langu namuundia team

Mpaka afukuze wale managers watatu
Ambao wanathink negative daily

Mameneja gani?? Go slowly jamani msije mkapressurize king hata akashindwa kufanya vitu vya maana, this pressure kutoka kwa mashabiki ni kubwa mnoo tusije shangaa akaboronda badala ya kufanya vitu vya maana.
 
Sio siri Kiba anazingua sana upande wa video mpaka leo kimya, akikwambia coming soon ujue ni miezi 3 mbele, mfano hapa ilitakiwa hapa awe ametoa ngoma mpya na kichupa chake lakini ndo kwanza bado tunasubiria chekecha video.

Subir ramadhani ikiisha nitaachia chekecha video

Sasa hivi nipo busy na tembo U know Tembo n source ya national income !!
 
Unapochelewa kutoa video unawapa watu nafasi ya kujenga script zao
Usshangae video ikitoka mtu akauliza "mbona maghorofa ya kko hayapo"
Hii pia hupelekea video kutokaa hewani kwa mda mrefu kwasabbu Nina script nyingi kuhusu video ya chekecha
Akitoa ambayo haifanani na script yngu hata moja
Nitaishobokea wiki ya kwanza then nitaipotezea

hiyo kawaida tu. me naamini video itakuwa poa sana. #kingkiba
 
Sio siri Kiba anazingua sana upande wa video mpaka leo kimya, akikwambia coming soon ujue ni miezi 3 mbele, mfano hapa ilitakiwa hapa awe ametoa ngoma mpya na kichupa chake lakini ndo kwanza bado tunasubiria chekecha video.

The pressure is too much, anatakiwa arelax sana afanye vitu na maamuzi ya maana, lasivyo tutaendea kulalamika hivyohivyo. Alafu kutoa ngoma kila siku ndio isue? Angalia kwanza uhai wa nyimbo anazotoa then chilax.
 
Sasa pole ya nn hana kk security star mzima. Au kaweka mmasai tu wakuwalipa elfu30 kwa mwezi.

Coni hoja ya kumpa lawama Kiba kisa hajampromo dai

Kwasabbu hawana destur ya kupeana promo
Kama huna cha kukomenti pita tu braza
 
Unapochelewa kutoa video unawapa watu nafasi ya kujenga script zao
Usshangae video ikitoka mtu akauliza "mbona maghorofa ya kko hayapo"
Hii pia hupelekea video kutokaa hewani kwa mda mrefu kwasabbu Nina script nyingi kuhusu video ya chekecha
Akitoa ambayo haifanani na script yngu hata moja
Nitaishobokea wiki ya kwanza then nitaipotezea

abuu ukipendwa unapendwa tu ngoja atoe tuone ila omydimpoz na shetta c wametoa audio na video pamoja lakini watu wamepotezea watapitwa viewers na kiba wiki moja tu #ROCKSTAR 4000
 
Mameneja gani?? Go slowly jamani msije mkapressurize king hata akashindwa kufanya vitu vya maana, this pressure kutoka kwa mashabiki ni kubwa mnoo tusije shangaa akaboronda badala ya kufanya vitu vya maana.

Presha gani ? I wish ungejua yaliyopo chini ya kapeti

Kiufupi Kiba ameshachimbiwa SHIMO
 
The pressure is too much, anatakiwa arelax sana afanye vitu na maamuzi ya maana, lasivyo tutaendea kulalamika hivyohivyo. Alafu kutoa ngoma kila siku ndio isue? Angalia kwanza uhai wa nyimbo anazotoa then chilax.

Wafatilie mastaa woote Africa au duniani

Alafu hesabu kwa mwaka wanatoa ngoma ngapi ? Na je wanachelewesha video ?
Je hawana upinzni unaowapa presha

Wafatilie kina WizKid,davido ,peter na paul ,flavor ,cabbo

Hutajua kwanini n muhimu kutoa angalau ngoma 2 au 3 kwa mwaka
 
Back
Top Bottom