Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Sio siri Kiba anazingua sana upande wa video mpaka leo kimya, akikwambia coming soon ujue ni miezi 3 mbele, mfano hapa ilitakiwa hapa awe ametoa ngoma mpya na kichupa chake lakini ndo kwanza bado tunasubiria chekecha video.

haraka yote mnawahi wapi jamani au nigeria kama domo labda video kidogo naweza sema co system nzuri ila kwa mwezi kutoa nyimbo nne sisapoti hta kidogo mambo mazuri yanakuja ngojeni swaumu ipitee #PAPIREE
 
Swaumu inahusiana nini na mziki ?

Akiimba anatukana ?

Utetez mwengine umekosa mantiki pwilo
 
Last edited by a moderator:
Wafatilie mastaa woote Africa au duniani

Alafu hesabu kwa mwaka wanatoa ngoma ngapi ? Na je wanachelewesha video ?
Je hawana upinzni unaowapa presha

Wafatilie kina WizKid,davido ,peter na paul ,flavor ,cabbo

Hutajua kwanini n muhimu kutoa angalau ngoma 2 au 3 kwa mwaka

sawa ila mziki wa Tanzania ni tofauti na nchi nyingne Tanzania hawauzi album kina wiz na davido na USA lazma wotoe ngoma nyingi coz wanauza sana album xo its ok for kiba #kebekebe
 
sawa ila mziki wa Tanzania ni tofauti na nchi nyingne Tanzania hawauzi album kina wiz na davido na USA lazma wotoe ngoma nyingi coz wanauza sana album xo its ok for kiba #kebekebe

Sasa album huuzi !!

Na kutoa nyimbo japo tumbili tu kwa mwaka iwe shida?

Punguza mahaba pwilo utakuja kumpga mkeo kisa Kiba ohooo
 
Last edited by a moderator:
We abou inaelekea kuna kitu unakijua ila hautaki kukiongelea, hilo shimo unaloongelea sijui kachimbiwa, kachimbiwa na nani? Kila mmoja hufanya mambo kwa utashi na nafasi yake, ushindani sawa ni mzuri ili kumpa mtu hasira ya kufanya mambo mazuri zaidi ila pia hutegemea mtu anauchukuliaje huo ushindani.

Kila siku mnamponda dai kwa kutoa nyimbo kila wakati na zinabuma na sababu ya yote ni hizi hizi pressure, mie naamini wakitulia wakafanya mambo kwa nafasi watafanya vitu vizuri tu.

Ila Kiba upande wa management bado hapajatulia, management ni muhimu sana kwa msanii na akiwa na management mbovu hata kama ni mkali ataonekana hawezi, Kiba needs a good management
 
Last edited by a moderator:
Swaumu inahusiana nini na mziki ?

Akiimba anatukana ?

Utetez mwengine umekosa mantiki pwilo

unajua wasaniii wapo tofauti sana msanii muislam anayefanya kazi mpaka ramadhani ni mmoja tu nadhani ushamjua ila wengne wote wamepumzika xo kiba ye anaheshimu swaumu ndo mana nimesema ngoja swaumu ipite tuone $kebekebe
 
Last edited by a moderator:
kama kuna lolote liweke hapa tujue, watu tuna vifua kwa habari kama hizo, pia hata iweje siwez acha kumpenda kiba labda aache mziki

Yeah aseme tu bwana, Kiba anahitaji kuujua ukweli ili ahangaishe kile kichwa kwakweli, ila kwa mwenendo wa huu ushabiki tunaouendeleza tz sijui kwakweli, its too much sasa.
 
Sio siri Kiba anazingua sana upande wa video mpaka leo kimya, akikwambia coming soon ujue ni miezi 3 mbele, mfano hapa ilitakiwa hapa awe ametoa ngoma mpya na kichupa chake lakini ndo kwanza bado tunasubiria chekecha video.

Haha poop it on k 4 real. Comin soon miez 3 nimecheka sana teamstress
 
Wafatilie mastaa woote Africa au duniani

Alafu hesabu kwa mwaka wanatoa ngoma ngapi ? Na je wanachelewesha video ?
Je hawana upinzni unaowapa presha

Wafatilie kina WizKid,davido ,peter na paul ,flavor ,cabbo

Hutajua kwanini n muhimu kutoa angalau ngoma 2 au 3 kwa mwaka

Kwenye suala la video hapo kwakweli Kiba ana tatizo, ila i think ni management ndio haijatulia, he needs a better management lasivyo sijui kwakweli.
 
yani kiba anawafanya watu wanafanya kazi mpaka mwezi mtuku wanakesha studio ila wenzake wote wamepuumzika sasa swaum ikiiisha watu watakimbia humu ngojeni tu #kebekebe
 
Swaumu inahusiana nini na mziki ?

Akiimba anatukana ?

Utetez mwengine umekosa mantiki pwilo

Mmmmh sijui kuhusu hilo maana mie sio muislamu na kila mtu na imani yake, ila mbona kama kuna kitu unakijua hukisemi?
 
Last edited by a moderator:
Yeah aseme tu bwana, Kiba anahitaji kuujua ukweli ili ahangaishe kile kichwa kwakweli, ila kwa mwenendo wa huu ushabiki tunaouendeleza tz sijui kwakweli, its too much sasa.

No worries, time will tell my atoto
 
Last edited by a moderator:
yani kiba anawafanya watu wanafanya kazi mpaka mwezi mtuku wanakesha studio ila wenzake wote wamepuumzika sasa swaum ikiiisha watu watakimbia humu ngojeni tu #kebekebe

Yaani wewe pwilo na abou wote mnaonekana kuna things you both guys know kinachopingana na kila mmoja, hebu tusubiri ramadhan iishe i hope he ll come with something gud, kimya kingi kina mshindo mkuu, msiyumbishwe na kelele za chura mshindwe kunywa maji.
 
Last edited by a moderator:
Sasa album huuzi !!

Na kutoa nyimbo japo tumbili tu kwa mwaka iwe shida?

Punguza mahaba pwilo utakuja kumpga mkeo kisa Kiba ohooo

dah haya bwana ila mi naona kwa mtazamo wangu labda video kweli anazngua ila kutoa manyimbo ovyo ovyo kama domo co system nzuri ok kila mtu na mtazamo wake lakini ila kiba ana colabo na nyimbo nyingi hataki kuziachia kama ya bella kebekebe
 
Last edited by a moderator:
No worries, time will tell my atoto
peterchoka tatizo people hawana uvumilivu wanataka matokeo ya haraka that way kweli? Hata roma haikujengwa siku moja, wampe muda Kiba he has a lot to offer ila tukimpressurize kwakweli ataharibu alafu tuanze tena kuongea na kumtafuta mchawi, tumpe ushauri ila tutambue yeye ndio mwenye maamuzi with wht to do n take, everything needs time.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom