Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

We inakuuma nini tukimpa shukrani davido kwa kumruhusu domo kusafiria nyota yake??? Mbona huna shukrani??? Mondo alishamshukuru, acha na sie tumshukuru bana

Najua Nilianza kumckia davido n kumkubali kabla ww mda sn kipindi npo chuo mwaka 2011 n wimbo wke dami duro akaja ekuro n oversees ila washikaji wng wengi walikuwa hawamjui hata watz wengi najua mlikuwa hamjui okey sikatai diamond kambeba davido west ila pia diamond ndo kafanya davido ajulikane east Africa n vilaza km ww usiojua mziki n wenzako halafu pia ile collabo diamond alimlipa ela haikuwa bure
 
aliyesema hivyo ni teamdaimond anajiita sio Daimond mwenyewe

Kweli wewe kivuruge
Ok naomba iyo screenshot
Kwa hiyo huyo team diamond ni kakake queen darleen.?
Nasikia iyo account fekero ya dai.
Maana kwa account nimewashindwaa
 
Attachments

  • 1434659513202.jpg
    1434659513202.jpg
    17.9 KB · Views: 90
Hahaaaa machungu yamempoa sa ivi ndo karudi. Baada ya ugali atakua ana mbebea Zari pochi kabisa.

Diamond akuomba kura ktma kachukua tuzo mbili je angeomba ivi uoni aibu wimbo wa mama by Bella n mwana n k UPI n wimbo wa mwaka be honest
 
Najua Nilianza kumckia davido n kumkubali kabla ww mda sn kipindi npo chuo mwaka 2011 n wimbo wke dami duro akaja ekuro n oversees ila washikaji wng wengi walikuwa hawamjui hata watz wengi najua mlikuwa hamjui okey sikatai diamond kambeba davido west ila pia diamond ndo kafanya davido ajulikane east Africa n vilaza km ww usiojua mziki n wenzako halafu pia ile collabo diamond alimlipa ela haikuwa bure

Hahahhahahahahah yani kende bana, huu uongo kaa chumbani udanganyane na bibi bomba na njiwa wenu, davido toka atoe hit ya damiduro alibamba afrika nzima, sasa wewe unadai mondi alimpaisha davido ea hahhahhaha sasa kama alijua atampaisha kwa nini amlipe??? Hahahahahahahahhahaha ktma for real bebe lazma mdate
 
Et dami duro Africa nzima davido kaja tz kwa fiesta n nyie ndo umemjua ww kuna watu wa tz hata dami duro hawaujui ukiwepo ww Kilaza unadhan kwann wiz kid hana jina kubwa east Africa kuliko davido while wiz kid kaanza mziki before davido
 
Lazima uwe busy ili kuondoa stress hahahaha mwaka huu unalo bwana njiwa, sie twaenda slowly but sure, stress free zone ama nene.

Stress embu nipe maana ya stress icje nyie ndo mkawa n stress n msanii wenu
 
Kweli wewe kivuruge
Ok naomba iyo screenshot
Kwa hiyo huyo team diamond ni kakake queen darleen.?
Nasikia iyo account fekero ya dai.
Maana kwa account nimewashindwaa

ipo humu humu itafutee,utaipataa,nikiipata nitakurushia Kuna mdau aliirusha hili jukwaa hili hili,,,,,Hilo la fake akaunt sio yeye Tu
 
Back
Top Bottom