unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,046
Hi Haters" 😉
Hi promota
Hi Haters" 😉
Hahahaha atapiga collabo na tembo mwaka huu
unajua management ya kiba hawajui kiswahili labda waandike english ROCKSTAR 4000 PRESENTS wanafanya mambo kizungu co kama babu tale na fella hata wakimpa diomond saa wanatangaza kwenye media #Rockstar 4000 presents
Ila jamaa wetu Kolabo ndio zinamtoa bila kolabo hana wimbo utakaoshindanishwa.Ndomo bila kolabo na Wanaija hana chakugombania tuzo wala nini.
Eeh vp n ile management yke after the middle finger walimtema nn
Diamond akuomba kura ktma kachukua tuzo mbili je angeomba ivi uoni aibu wimbo wa mama by Bella n mwana n k UPI n wimbo wa mwaka be honest
Ila jamaa wetu Kolabo ndio zinamtoa bila kolabo hana wimbo utakaoshindanishwa.Ndomo bila kolabo na Wanaija hana chakugombania tuzo wala nini.
Nikitu kimoja tu. Kutofollow msanii mwenzake hata mmoja ndio kunasababisha watu kuto mpost yan very bad idea nani sijui alimshauri. Kwa sababu umpost Kiba wanini wakat hajakufollow it means hataona hata picha yko wala uliyompost. Ndio mana ilibidi amuombe Wema ampost lkn Wema kwa hiari yke walaaa asingejisumbua kumpost Kiba cz haina maana. Yan artist wana muignore kwenye social media kama haexist vile
Acha uongo Yale yaliokua yana sema vote for diamond yalikua ya nini. Mkikosa tuzo ndo mnajifanya kuona wasanii wengine ka Barnaba na Bella.
#wazeewakushushwa
#walalamishi
duh kweli wewe hujui muziki, After The Middle Finger ilikuwa brand yake mwenyewe ie: WCB, kabla hajasaini ROCKSTAR 4000
Ila jamaa wetu Kolabo ndio zinamtoa bila kolabo hana wimbo utakaoshindanishwa.Ndomo bila kolabo na Wanaija hana chakugombania tuzo wala nini.
Kila msanii ana life style lake na maamuzi yake kwani hao wanao postiwa waliongeza nini labda.
Artist gani kamu ignore kutoku postiwa haimaanishi watu wame kuignore posts nyingi huwa ni ka fashion tu.
Kizuri huwa chajiuza tu kikubwa msanii apendwe na watu wengi mioyoni ka kupostiwa ndo deal basi kila MTU angekua bilionare.
Kwan aliweka kwny a.c yke insta km yule k
Kupostiwa ni kama promo so usipo postiwa unakua kama haupo kwenye rotation dat y nikasema kama wanamu ignore tu. Hata alivyotoa ngoma ya cheketua ile cover yke ckuona wasanii wenzake wakishare. Hii itamuwia vigumu mana akitaka kupostiwa adi aombe
Na nyie video 3 zenu mlizoachia zikwapi now? Hahahaha
Na Nini na nini