Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

It doesn't matter upostiwe au usipostiwe kitu kile kile tu mana MTU asipostiwa kwenye kitu mnaanza malalamishi kila mahali.
Again kupostiwa sio kwamba wana ignore mtu. Kwanza hata akiomba kupostiwa sio dhambi hyo chekechua inasikilizwa na watu maredio mbalimbali hadi vijijini wasipo tumia internet.
Kikubwa msanii ukubalike mioyoni mwa watu hizo nyingine bwembwe tu.
PUMBa na mahindi zinapatikana wapi??
Hasa hasa pumbA maana nasikia una kiwanda cha pumba home
 
PUMBa na mahindi zinapatikana wapi??
Hasa hasa pumbA maana nasikia una kiwanda cha pumba home

Niwe na kiwanda au nisiwe nacho hakikuhusu ni non of ua bussiness.
Hahaaaa naona unanitafta hunipati ng'o naona kila Uzi una ni attack bila sababu.
 
Attachments

  • 1434716049266.jpg
    1434716049266.jpg
    9.2 KB · Views: 100
Ila jamaa wetu Kolabo ndio zinamtoa bila kolabo hana wimbo utakaoshindanishwa.Ndomo bila kolabo na Wanaija hana chakugombania tuzo wala nini.

Waambie, they know not n yet they think they kno it all!!! Pop it innnnnn!!
 
Wanahaha haooooo!! Hawakosi sababu, wazee wa kujihami na kujistukia!!! Chefuuuu

Hizi tuzo za KTMA zimewachanganya mno hadi baadhi ya nati zimeachia aisee.Kiba ndo kiboko yao yuko simple lakini anawahangaisha watu vibaya mno.
 
Kumbe sasa mbona haitaji tena iyo brand name ooh kumbe nilisahau isha decline 😀😀😀😀

mtu awe na brand mbili, unafikiri ni kama wewe huku unauza njiwa huku unanunua zile hela zetu, teh teh
 
Kwani whats going on in here?? Mbona watu wanahorojoka tu??? Wazalendo humu wanatafuta nn?

Hahaaa hakuna jipya ma dia hapa zaidi ya paniki tu basi na kuhorojoka kwa sana tu.
Wazalendo wamekuja huku kubadilisha mazingira you know na kutaka mashindano ya kijinga tu.
 
Hizi tuzo za KTMA zimewachanganya mno hadi baadhi ya nati zimeachia aisee.Kiba ndo kiboko yao yuko simple lakini anawahangaisha watu vibaya mno.

Intaneshino bwana!!! Wanaumia nini na local??? Hawa watu hata hawajitambui kwakweli, hata hawajui nini wanataka, nati zililegea cku nyingi mbona kabla hata ya tuzo, basi tu wanaendrlea kujifariji ila habari wanayo!!!
 
Hahaaa hakuna jipya ma dia hapa zaidi ya paniki tu basi na kuhorojoka kwa sana tu.
Wazalendo wamekuja huku kubadilisha mazingira you know na kutaka mashindano ya kijinga tu.

Yanawacost ila hawakomi, kweli ni rahisi kumtoa mtu nje ya tandale ila kuutoa utandale ndani yake usahau kabisaaaa!!! Wazalendo bwana
 
mtu awe na brand mbili, unafikiri ni kama wewe huku unauza njiwa huku unanunua zile hela zetu, teh teh

Mweee muuza njiwa kumbe alirudi jamani, maumivu yamepoa? Au bado anajiuguza tu!!! King Kiba nipe raha mie
 
Yanawacost ila hawakomi, kweli ni rahisi kumtoa mtu nje ya tandale ila kuutoa utandale ndani yake usahau kabisaaaa!!! Wazalendo bwana

Zaidi ya Ku cost na wanajitia vichwa ngumu tu.
Exposure nayo ni muhimu pia na jinsi ya Ku win watu. Utandaleni plasi uswahili ulikua nao kuutoa ni ngumu mno loh.
Chezeiya wazalendo weye
 
Mweee muuza njiwa kumbe alirudi jamani, maumivu yamepoa? Au bado anajiuguza tu!!! King Kiba nipe raha mie

nilimuona mahali fulani, ananunua sarafu za 500 kwa 1500, yaani wamejaa ukanjanja tu!
 
Full kuchambana hadi team moja itaomba poo ila team kiba mpo vizur hadi inteneshonoo wanakuja loko
 
Zaidi ya Ku cost na wanajitia vichwa ngumu tu.
Exposure nayo ni muhimu pia na jinsi ya Ku win watu. Utandaleni plasi uswahili ulikua nao kuutoa ni ngumu mno loh.
Chezeiya wazalendo weye

Kweli wazalendo wana mambo, now wanahahaaaa kumtafutia Kiba baya ili aonekene mbaya ila waaaapi ndio kwanza wanazidi kujichafua na kujidhalilisha, mtoto wa watu hana habari anafanya yake tu like no body's business, chezea mr. Ambassador!!!
#iheartkiba
 
nilimuona mahali fulani, ananunua sarafu za 500 kwa 1500, yaani wamejaa ukanjanja tu!

Hahahaaaaa!!! Yakimharibikia huko ndio stress zake anakuja kuzitoa kwa Kiba, atulie amalize dozi maana ndio kwanzaaaaa wameanza
 
Back
Top Bottom