Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ukileta evidence ya iyo ishu nitajitolea kulisha familia yenu mwaka mzima kuwa diamond kasema ivyo

Wewe mwenyewe kula kulala kodi ya nyumba shikamoo halafu umlishe nani? Hebu kajambe huko. Mfyuuuuuuuuuuu.
 
Jamani hivi kwa nini domo akiona mwenzie kaula kitu fulani huwa anachanganyikiwa??? Maana mara ya kwanza kuona kiba yuko kwen category nyingi ktma aliandika gazeti part 1 akajutia hahahahah sasa kusikia kiba kawa balozi wildlife kaja na huu uchafu, hivi domo hana chujio la maneno??? Kweli bibi bomba anampoteza
 
Cjamkataza kuvote just nimeuliza ah mie nilikuwa mbali sn uko hata network hamna mambo flan ya kusaka mshiko

Na wewe kende bana yani sio mpiganaji kabisa yani tuzo saba zimekufanya ukimbie kabisa, saivi umejitutumua umerudi. Kweli domo kala hasara, hahahahaa karibu tena na pole kwa maumivu
 
Sasa una chomsakama nini eti ulikua mbali sijui network wakati ulikua unaugulia maumivu ya kukosa tuzo. Pole eeeeh.
Hivi hao njiwa ulishawamaliza nataka nikuyungishe kidogo ili usipate tabu.

Hahahhahaha nahis kama alipigwa ban
 
😀😀😀 ivi Ali kiba hayupo ktk izo tuzo mbona unamvotia davido we

We inakuuma nini tukimpa shukrani davido kwa kumruhusu domo kusafiria nyota yake??? Mbona huna shukrani??? Mondo alishamshukuru, acha na sie tumshukuru bana
 
Familia yako tu imekushinda kuilisha yangu utaiweza. Kauze njiwa umuhudumie mkeo mjamwepesi hayo mengine huwezi kuyatekeleza.

Alikimbia kabisa baada ya ktma akijifanya anasonga ugali south hahahahaaah!!!! Ohhh im so happy now days,.
 
Na wewe kende bana yani sio mpiganaji kabisa yani tuzo saba zimekufanya ukimbie kabisa, saivi umejitutumua umerudi. Kweli domo kala hasara, hahahahaa karibu tena na pole kwa maumivu

Tuzo saba nani alishawahi chukua tuzo saba bongo zaidi ya diamond mtaje huyu msanii aliechukua tuzo saba bongo
 

Attachments

  • 1434659116001.jpg
    1434659116001.jpg
    63.2 KB · Views: 69
Back
Top Bottom