pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,563
- 14,632
TundaMan mkuu
mkuu kuna mwingne mzurii saaaanaaa huo utasumbua sana dah basi sawa hadi tunda kakimbia
TundaMan mkuu
Hahahaha huyo ndiye kingHimself, mkuu Abou Saydou hivi official release ya Chekecha video itakuwa lini?
Mpaka amalize kupiga tour state apate hela arudi akamalizie mkwanja ndio jamaa ataiachia mana katoa advance kule. Usishangae kichupa cha Yamoto Band Cheza kwa madoido kikawa kwa Tv pendwa yko kabla ya Chekutua

sasa mi hata sielewi jeuri zenu mnatoa wapi yani hapo kiba katoka kama boss diamond kaja kuomba kaziiii acheni bwana King kiba msimfananishe na wauza mitumbaa
Kwa hizo picha inaonyesha ni jinsi gani watu wanatofautiana akili kama huelewi haha. Tunaweza anza mbio pamoja au ukanitangulia kuanza bt mwisho unawez ukanikuta nakusubiri we ndo unamaliza.
Another dayyyy another Kikiiiii!
"Thanks baby its finally hereee!"
Guuuuud morning the royal family, lap yuuuuuuuu
Yaani kuna colabo ukizisikia alizofanya kiba yaani ni kipande cha kiba tu ndio kinanoga, huyu mtu jamani mwacheni tu achukiwe anajua mnoooo mpaka anakera!!
best collable of the year kuifananisha kerewa na kiboko yangu ni sawa na kufananisha mlima na kichuguu cha mchanga waombe radhi kwanza
ha ha ha ha ama kweli nyinyi ni mashabiki aisee
madame wamechanganyikiwa tayari wale hawana jipya kazi yao wanaanzisha thread za uongo tu KING KIBAAAAA
Thread za uwongo zinatokana na acc fake za haohao huko insta na fb.
Wanajitekenya halafu wanacheka wenyewe.
KTMA mbaya sana, nimejifunza kitu kupitia wao a.k.a WAZEE WA KUKURUPUKA.

yule jamaa anachonikera ni kwamba anapenda sana sifa sasa ingekuwa yy ana degreee kama davido huko instagram tungeonyeshwa vyeti kila wakati ila wenzake walaaa
nifah namuonea huruma sana domo coz wenzake wote anaoshindana nao wanafanya mziki kipaji co kujulikana Davido ana degreee anafanya mziki kipaji Kiba anajua mpira kuliko kuimba 😛oint domo anategemea mziki tu halafu zarau kibao ana misifa sana yule jamaaa
madame wamechanganyikiwa tayari wale hawana jipya kazi yao wanaanzisha thread za uongo tu KING KIBAAAAA
Another dayyyy another Kikiiiii!
"Thanks baby its finally hereee!"