Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Vote! vote! vote!
Vote for Africa...vote for wizkidayo, vote for Davido

Lazima tuutukuze Uafrica wetu, Africa is one, Domo ukimchunguza asili yake utakuta ni Mrundi kwahiyo swala la Utanzania halipo hapa tunaangalia Uafrica, mbona vitenge vya Ghana wanavishabikia?

Na kwa takwimu nilizonazo Super Eagles timu ya mpira wa miguu ya Nigeria ndio inaongoza kwa kupendwa na kushangiliwa na Watanzania why kumpenda Davido iwe nongwa? Ni sheeeeeedah!
 
Kwanini tubaguane?
Sote ni ndugu watoto wa baba mmoja-Emanuel Nkulila, RIP.
 
Karibu sana mpenzi kwenye ulimwengu wa local,wizi,umasikini na uchawi na mabingwa wa outlook mbovu, uwiiii hebu niende tena kwenye kioo labda nitakuwa nimerekebishika kidogo now.

ha ha ha ha haha hahha navocheka hapa naonekana mjinga
 
Hili balaa lote analieta Kiba!!! Aaggggrrrrrr Handsome mkubwa yule, ndio maana ana dimpoz, muone lilivyo kazi kutunga nyimbo kali tu!!

naipenda sauti yake hasa ile nyimbo ya kiboko yao dah
 
Diamond akikosa au kupata tuzo, inqkusqidia nin katika maisha yako!

...some poor tanzanians, for this intelligent, then we should forget about development!
 
Diamond akikosa au kupata tuzo, inqkusqidia nin katika maisha yako!

...some poor tanzanians, for this intelligent, then we should forget about development!

Aliyekwambia sisi tunataka maendeleo ni nani? Watu wengine hovyoo kweli hata kuandika tu hujui ndio unaongelea maendeleo?

Hivi ni tanzanians au Tanzanians? Jinga kabisa.
 
Aliyekwambia sisi tunataka maendeleo ni nani? Watu wengine hovyoo kweli hata kuandika tu hujui ndio unaongelea maendeleo?

Hivi ni tanzanians au Tanzanians? Jinga kabisa.

Akili yako ndo ilipoishia, si ndio!!!
Mkuu una akili ndogo sana hata mdgo wang wa daras la sita kakuacha mbali sana!
Anyway, thanks for your responses......unanifanya niendelee ku'validate na ku'confirm nnachokifikiri.
 
Wewe pimbi acha mbwembwe, ni tanzanians au Tanzanians? Jibu swali acha kurukaruka kama bata bukini.
 
kati ya wanamedia mnaopigia promo bongo fleva hii inahusu kwetu ni moja ya kupushhhhhhh artistyyyyyyyyy...... ..
Sifa za msanii Ali kiba
Ana uwezo kutunga mashairi
Uwezo mkubwa wa kuelimisha jamii
Uwezo wa kujitegemea kuimba
Hapendi sifa
Nyimbo zake watu wa aina zote wanaweza kuupokea
Uburudishaj wake wa hadhira
Kujitegemea hashirikish mara nying
Sio mtu wa papara
Yupo makin
Uwezo wa kupokelewa unahitaj umakin
Sifa za Diamond
Ana uwezo wa kuimba
Mashair yake yanajirudia
Anapenda kusifiwa
Kushirikisha watu kukoraborat nyimbo
Nyimbo zake za watu wa umri fulani kat ya - up to -
Mahadh ya nyimbo ni kurudiwa rudiwa
Upungufu wa umakin kila siku
 
Khe kheee kheeeeee nakwambia atoto mond hapati. Kama kuwakilisha TANZANIA KUNA VANESA

Hahahaaaaaa!!! Jamani rudisheni roho nyuma wachawi wenzangu, au mnataka mtoto wa taifa awe njiti!!!
 
Last edited by a moderator:
naipenda sauti yake hasa ile nyimbo ya kiboko yao dah

Yaani kuna colabo ukizisikia alizofanya kiba yaani ni kipande cha kiba tu ndio kinanoga, huyu mtu jamani mwacheni tu achukiwe anajua mnoooo mpaka anakera!!
 
Hoooouuhh..! You people are soo selfish, How did i even mic this conversation..! Damn it kumbe Dmond ni thief wuuuuuhh
 
Aliyekwambia sisi tunataka maendeleo ni nani? Watu wengine hovyoo kweli hata kuandika tu hujui ndio unaongelea maendeleo?

Hivi ni tanzanians au Tanzanians? Jinga kabisa.

Umasikini wetu unamuhusu nini kwa mfano kuna anayekunya kwenye choo chake hapa!!! Akipata au asipopata haitusaidii chochote thats why we are voting kwa yule tunayejisikia, sasa if thats the case kwanini waumie!!!
 
Wewe pimbi acha mbwembwe, ni tanzanians au Tanzanians? Jibu swali acha kurukaruka kama bata bukini.

Eti naye "anafikiria" huhuhuuuuu au hajui hata machizi nao huwa wana mawazo!! Chefuuuuu
 
Umasikini wetu unamuhusu nini kwa mfano kuna anayekunya kwenye choo chake hapa!!! Akipata au asipopata haitusaidii chochote thats why we are voting kwa yule tunayejisikia, sasa if thats the case kwanini waumie!!!

Anajambajamba tu sijui kala choroko za marika!!
 
kati ya wanamedia mnaopigia promo bongo fleva hii inahusu kwetu ni moja ya kupushhhhhhh artistyyyyyyyyy...... ..
Sifa za msanii Ali kiba
Ana uwezo kutunga mashairi
Uwezo mkubwa wa kuelimisha jamii
Uwezo wa kujitegemea kuimba
Hapendi sifa
Nyimbo zake watu wa aina zote wanaweza kuupokea
Uburudishaj wake wa hadhira
Kujitegemea hashirikish mara nying
Sio mtu wa papara
Yupo makin
Uwezo wa kupokelewa unahitaj umakin
Sifa za Diamond
Ana uwezo wa kuimba
Mashair yake yanajirudia
Anapenda kusifiwa
Kushirikisha watu kukoraborat nyimbo
Nyimbo zake za watu wa umri fulani kat ya - up to -
Mahadh ya nyimbo ni kurudiwa rudiwa
Upungufu wa umakin kila siku

Tena kuna hiyo ya kwanza umempendelea ukanikumbusha kauli ya Barnaba, alisema ndomo hajui kuimba ila ni ujanja ujanja tu ule ambao wanaojua kuimba huutumia pale wanaposhindwa kufikia malengo, walimropokea barnaba hatari kwa kauli yake hiyo ya kweli, leo hii eti wanamtetea barnaba eti kisa tuzo kapata King, kumbe wote tunasahau!!! Yaani nacheeeeka kweli kweli
 
Back
Top Bottom