Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

ukitaka kufaidi utamu wa nyimbo mpya ujao wa alikiba nenda insta account ya jamaa anaitwa jr.armylee....pale kuna kapande karefu kidoogo...post ya kwanza tu klick....chakula kitamu hunukia tokea mbalii

Walah huyo ndiyo kinkiba bwana hahahhaha raha sana mwaka huu, Dai ataelewa hakuna cha Nana wala sankoro
 

Attachments

  • 1434526721511.jpg
    1434526721511.jpg
    37.9 KB · Views: 83
Uo wimbo sio Wa kiba
Na mwenye wimbo kaususa baada ya kiba kutia vocal za hatari yaani kakimbia studio hajarudi mpaka Leo

Hahahaha huyo ndiye kingHimself, mkuu Abou Saydou hivi official release ya Chekecha video itakuwa lini?
 
Last edited by a moderator:
Point zao ni wanaonewa wivu. Watanzania wana chuki na mafanikio yake wanataka kumshusha kinguvu.
Hivi ka ni wivu na chuki si watu wangemuonea Bakharesa sana.
Hoja zao mfu.

Eti tuna wivu na ndomo kisa katuzidi mafanikio....heheh so unreasonable
 
Back
Top Bottom