Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Nikakumbuka walivyotuchambaga ile isue ya chriss brown, sasa wao walivyokurupuka leo bila kujiongeza wakaingia kichwa kichwa na kujifariji, duuuh nimecheka mpaka mdogo wangu kanishangaa ikabidi nimsimulie tujiunge kichekoni, duuuuh acha wajifariji kwakweli

Hahahahaaa, chezea tuzo 6 kati ya 7 wewe? Hapo sasa ngoja video itoke ndio watu watapanic balaaa.
Pls Kiba achia hiyo kitu kabla ya Ramadan maana utaniharibia funga yangu mie!
Siwezi kuacha kuja kusherehekea huku na nyie kabisa!
 
umeskiliza wimbo mpya wa domo kama bado usiusikilize bora hata bumbum mana utajaza nafas buree

Duuuh! Mkuu umepata wapi hizo comments? Maana sisi huku tukisema tunaitwa tuna ROHO MBAYA!
 
ukitaka kufaidi utamu wa nyimbo mpya ujao wa alikiba nenda insta account ya jamaa anaitwa jr.armylee....pale kuna kapande karefu kidoogo...post ya kwanza tu klick....chakula kitamu hunukia tokea mbalii
 
mkuu kwenye link ya huo wimbo mkuu zipo nyingi watu wameponda saaaanaaa asipotulia ataomba collable na mzee yusuph sasa KING KIBAAA 4really
 
Hahaaaa nimecheka Leo Mimi domo kapost kidogo wakaanzisha maneno ya kulambisha ndimu watu, mi nilijua tu ni uzushi wa kutafta kiki hizi timu zinawafanya watu wasifikirie kabla ya kupost.
At the end wamepata aibu ya mwaka ningekua mi ningefuta comments.

Mpaka wanatia huruma jamani, hebu wachawi tupunguze, hii ndumba imekolea zaidi
 
Hahahahaaa, chezea tuzo 6 kati ya 7 wewe? Hapo sasa ngoja video itoke ndio watu watapanic balaaa.
Pls Kiba achia hiyo kitu kabla ya Ramadan maana utaniharibia funga yangu mie!
Siwezi kuacha kuja kusherehekea huku na nyie kabisa!

Aiseeee haitakuwa poa kabisaaaa tusherehekee hii kitu tukiwa nusunusu kwakweli, the king needs to do the needfull as soon as possible, km nawaona washajiandaa na comments!!
 
ukitaka kufaidi utamu wa nyimbo mpya ujao wa alikiba nenda insta account ya jamaa anaitwa jr.armylee....pale kuna kapande karefu kidoogo...post ya kwanza tu klick....chakula kitamu hunukia tokea mbalii

Ngoja tautafuta aisee, King ataua watu jamani, kuna watu jf washaikimbia
 
ukitaka kufaidi utamu wa nyimbo mpya ujao wa alikiba nenda insta account ya jamaa anaitwa jr.armylee....pale kuna kapande karefu kidoogo...post ya kwanza tu klick....chakula kitamu hunukia tokea mbalii

Baby baby baby eeee, wewe ndio wangu baby eeh, toka skuli baby eeee.......,

pop it innnnnnnnn, thats the king buanaaaa, na hiyo sauti ilivyo tamu sasa!
 
Hahaaaa nimecheka Leo Mimi domo kapost kidogo wakaanzisha maneno ya kulambisha ndimu watu, mi nilijua tu ni uzushi wa kutafta kiki hizi timu zinawafanya watu wasifikirie kabla ya kupost.
At the end wamepata aibu ya mwaka ningekua mi ningefuta comments.

Hahahahaaa, chezea tuzo 6 kati ya 7 wewe? Hapo sasa ngoja video itoke ndio watu watapanic balaaa.
Pls Kiba achia hiyo kitu kabla ya Ramadan maana utaniharibia funga yangu mie!
Siwezi kuacha kuja kusherehekea huku na nyie kabisa!

Mpaka wanatia huruma jamani, hebu wachawi tupunguze, hii ndumba imekolea zaidi

Kwenye Lamborgin la magumashi leo miye ndio nimeonekana mwanga na cha kushangaza leo watumia internet wameichukia google.

Hivi mapovu ya watu wa humu kweli ndio yatafuta previous travel record yangu? Au nahitaji kuscan passport yangu humu? Kweli leo kina Kuluthum wamefyum.

Alamsiki jamani asubuhi baniani ananihitaji kubeba box.
 
We waache wajifariji bwana, sasa now wataongelea nini zaidi ya kuatack watu?? Ulale unono
 
Baby baby baby eeee, wewe ndio wangu baby eeh, toka skuli baby eeee.......,

pop it innnnnnnnn, thats the king buanaaaa, na hiyo sauti ilivyo tamu sasa!

duu mkuu pitia na kule usome coment basi kwenye link
 
Attachments

  • 1434489327128.jpg
    1434489327128.jpg
    23.9 KB · Views: 85
wimbo mpya wa diomond unapondwa kinoma

Kwani ni wake au kashirikishwa? Huo wimbo sio wake bwana aliomba tu apewe shavu kidogo afanye nae colabo(hahahaaaa nawasubiri) ila kama kawaida yake akavurunda, kweli mzimu wa davido noma, mie now nacheketua tu sitski kuharibu masikio yangu kusikiliza vibovu jamani, wao wenyewe wametuambia tusapoti muziki mzuri.
 
We waache wajifariji bwana, sasa now wataongelea nini zaidi ya kuatack watu?? Ulale unono

Jamani wale mtaa wa pili sasa jina lao tuwaite wazee wa Lambojini, cha kushangaza boss wao anajiita Dangote kabisa maana yake amevutiwa na Mnigeria na siyo Mengi wala Bakhresa ila akina sisi nifah atoto na wengine ukivutiwa na Davido unaitwa siyo mzalendo mimi naombeni tafsiri leo aliyeadopt jina la kinaijeria na sisi nani mzalendo? Swali lifike na kwa wazee wa Lambojini.
 
Last edited by a moderator:

Umesahau lile la osama bin laden, waafrika sie ni wamoja ndio maana hata yeye kaoa(sijui ni hawara) uganda, kashirikisha wanaijeria rundoooo, sasa kwanini colabo tuwashobokee alafu kura tuwanyanyapae?? Noti raiti kwakweli, wazee wa lambojini wao watulie tu, wakitaka uzalendo uanzie kwao
 
Last edited by a moderator:
Guuuuud morning the royal family, lap yuuuuuuuu
 
Attachments

  • 1434518600300.jpg
    1434518600300.jpg
    35.1 KB · Views: 83
  • 1434518613281.jpg
    1434518613281.jpg
    49.7 KB · Views: 76
Back
Top Bottom