Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
Haya jamani ule wakati wa kuwaaga umewadia sasa.
Kutokana na taarifa za uhakika nilizozipata ni kwamba mwezi umeandama na kwetu sisi waislam ni ishara ya kuwa kuanzia kesho mwezi mtukufu wa Ramadhan utaanza.
Mimi kama muislam nitaungana na wenzangu katika mwezi huo mtakatifu wa toba, hivyo basi...sitokuwepo humu kwa kipindi chote hicho cha toba.
Ni furaha iliyoje kupata wasaa mwingine wa kutubu kwa yale yote mabaya niliyoyatenda?
Ila kwa namna nyingine ni huzuni maana sitowasiliana wala kushirikiana nanyi humu ndani kwa kipindi chote hicho.
Nitawamiss sana marafiki zangu atoto geniveros Ms.Lincoln cute b charty Matola Abou Saydou pwilo Shardcole unanitaka The Name asubuhi sana dawa yenu Zamaulid Diva Beyonce peterchoka victor moshi Victoire best angu mito...my uncle Zamiluni Zamiluni
Na kubwa zaidi mpenzi wangu mimi, rafiki yangu...my everything Mdakuzi! O.M.G.... basi tu niishie hapa maana nobody knows what I feel!
KWAHERINI WAPENDWA, TUTAONANA TENA PANAPO MAJAALIWA YAKE MUNGU
Kila la kheri ,nami nimo
Last edited by a moderator: