Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Wapumbavu
Na wewe ni mmoja wapo wa wapumbavu. Hasira hizo zinakusumbua hebu kunywa maji baridi kujituliza kwanza.
Wapumbavu
Wapumbavu
Wapumbavu
Eti Kiba hafikirii kwenda international yeye ana zaa zaaa tu ndo ajuavyo.
Wanawake wote alio wa date ni makombo loh.
Nimeamini ukimya ni hekima kauli za kuwachamba mashabiki zimemtokea puani.
Hahaahahahaha unachekeshaaa
It takes no time for one to know one!! Karibu mchawi mwenzetu
Na wewe ni mmoja wapo wa wapumbavu. Hasira hizo zinakusumbua hebu kunywa maji baridi kujituliza kwanza.
Na wewe ni mmoja wapo wa wapumbavu. Hasira hizo zinakusumbua hebu kunywa maji baridi kujituliza kwanza.
Ali kiba yoooooo.
The king of AFRIKA.
Nimeamini team kiba tunatrishaaaaaaa.
loooh sio kwa kuwalisha watu ukwaju ivyo.
wamesinyaaa
Wamevurugwa hatari, heheeeeiiiyaaaa!! Mpaka babu yao chinga anatapatapa kuleeeee, haamini majicho yake, ye anadhani wao walivyomgeuka Kiba na kuanza kumtusi rahaaaaaaaa!!! I love is tanzania(in shishi's voice)
dah akipata ht hhyo moja mondiii...
karoga haswaa
Vote! vote! vote!
Vote for Africa...vote for wizkidayo, vote for Davido