Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

sasa mkuu ratiba c hata watoto wa shule ya msingi wanayo au mmeshindwa kwenye tuzo mnaanza kupambanisha ratiba haya vote for wizkidayo

Vote ww kwa Wizkid mana akichukua tuzo atasema asante watanzania kwa kura zenu
 
kweli hizo mbili alizochukua yy domo kasema asante haya asante BansenBurner c ndo shida yako asante vote for wizkidayo
 
Sasa mmemponda chibu vya kutosha......hamishieni jitihada zenu kwenye kumshauri kiba afanye nini ili apate japo kua nominated kwenye tuzo za kimataifa
 
Kwaio nyimbo ya FA ft Kiba - kiboko yangu niya kiba? Au unandika andika tu ujinga ilimradi usomeke?

Mbona nyie zile tuzo za mwaka jana mnahesabu 7 ilhali tuzo za domo ni 6? Tuzo ya wimbo bora wa KUSHIRIKIANA ni ya wote maana wameshiriki katika wimbo.
Ndio maana domo mwaka huu ana tuzo 2 tu, ile moja ya Prof. Jay ni ya wimbo bora wa Hip Hop...
Mambo madogo kama haya yanakushinda kazi kutokwa povu tu!
 
Kwenye awards nyimbo ya kushirikana inahesabika kama ya wote sawa bt huyu phiru ubishi wang na yy ni kua diamond ka release nyimbo 3 sijui ndan ya mwez 1 kitu ambacho sio. Katoa nyimbo 1 yke bt collaboration 2 na Iyanya na Kcee sio ngoma zke.
 
Last edited by a moderator:

hii thread c ni ya kiba au sasa nani kakwambia ww team domo uje huku nyie mnauzi wenu we ndo umekuja huku ili uonekane basi sawa vote for wuzkidayo ila mambo ya domo peleka kule kwenye uzi wake
 
Kwenye awards nyimbo ya kushirikana inahesabika kama ya wote sawa bt huyu phiru ubishi wang na yy ni kua diamond ka release nyimbo 3 sijui ndan ya mwez 1 kitu ambacho sio. Katoa nyimbo 1 yke bt collaboration 2 na Iyanya na Kcee sio ngoma zke.

Kwani ule wimbo aliotoa siku 2 sijui 3 (ft. Iyanya) baada ya kutoka kwa ule alioshirikiana na Mr. Flavour ni wa nani?
 
Last edited by a moderator:
Mbona nyie zile tuzo za mwaka jana mnahesabu 7 ilhali tuzo za domo ni 6? Tuzo ya wimbo bora wa KUSHIRIKIANA ni ya wote maana wameshiriki katika wimbo.
Ndio maana domo mwaka huu ana tuzo 2 tu, ile moja ya Prof. Jay ni ya wimbo bora wa Hip Hop...
Mambo madogo kama haya yanakushinda kazi kutokwa povu tu!

c ndo mi mwenyewe nashangaa yani hajui anachozungumzab vote for wizkidayo hfu nenda insta kule kwa dada yake kiba kuna nyimbo zabibu kaiweka kipande ni xidaaa KING KIBAAA
 
Haya naenda sasa hivi.Mimi habari kama hizi ndio nazitaka bwana...
 
Sasa mmemponda chibu vya kutosha......hamishieni jitihada zenu kwenye kumshauri kiba afanye nini ili apate japo kua nominated kwenye tuzo za kimataifa

Na nyie mmemponda sana Kiba jamani sasa hizo juhudi zenu hebu tumieni kumshauri ndomo aache nyodo na mashabiki zake mjiongeze mjiondoe upunguani ambao mnadhani hamna, then keep sapporting the good music narudia tena the good music
 
Kwenye awards nyimbo ya kushirikana inahesabika kama ya wote sawa bt huyu phiru ubishi wang na yy ni kua diamond ka release nyimbo 3 sijui ndan ya mwez 1 kitu ambacho sio. Katoa nyimbo 1 yke bt collaboration 2 na Iyanya na Kcee sio ngoma zke.

halafu we msengerema usiniite mimi phir sawa huku ni kwa kiba niache niandike kitu kinachonifurahisha nyambafuu hilo tangazo lako la wimbo mpya peleka kulee kwa domo sawa pop it yooooooooo kiba2
 
Last edited by a moderator:
Kwani ule wimbo aliotoa siku 2 sijui 3 (ft. Iyanya) baada ya kutoka kwa ule alioshirikiana na Mr. Flavour ni wa nani?

Mweeee kuna wimbo katoa na iyanya tena!!! Ndio nazipata hizi habari kwako
 
c ndo mi mwenyewe nashangaa yani hajui anachozungumzab vote for wizkidayo hfu nenda insta kule kwa dada yake kiba kuna nyimbo zabibu kaiweka kipande ni xidaaa KING KIBAAA

Yaani kawimbo katamuuuu hakoo, acha tu nimpende(simshabikii tu) King Kiba
 
Mweeee kuna wimbo katoa na iyanya tena!!! Ndio nazipata hizi habari kwako

upo mkuu sio mzuri ndo maaana hajaupigia promo unaitwa nakupenda ukiachana na bumbum mwezi mmoja nyimbo nne 1.mapenzi pesa 2.nana 3.nakupenda 4.na huo mpya wa leo KING KIBAAA utawafanya watu waimbe hadi hiphop
 
Yaani kawimbo katamuuuu hakoo, acha tu nimpende(simshabikii tu) King Kiba

umeona mkuu sasa kuna kipande kingne alituma huyohuyo zabibu atoto acha tu kiba hafai chekecha weka mbali mzuri saanaa
 
Back
Top Bottom