Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kweli kabisa" kiroho kinawauma hahahah ..

Diamond mbona wanamubali sana tu na nyimbo zake lazma wazcheze sema tu wanamchukia kwakua alimwagana na wanjiru

Nendeni kwenye Uzi wa diamond ndo mzungumzie mambo yake eeeh uu Uzi ni special kwa ajili ya kiba. Hata mi nikija kwenye Uzi wa diamond nitazungumzia kuhusu yeye na sio Kiba.
 
Nampenda Kiba, leo lazima atupe raha .
Natabiri kujamba jamba kwa team ndomo na kuhara hara kwa malalamiko na kuwayawaya....
 
Hahahahahah pole sana lakini ukae ukijua unajisumbua bure tu hate yako haitokaa ibadirishe chochote kwenye aloandikiwa na Sir God.

Umejuaje ana hate hvi nyie mashabiki wa domo mbona huwa mnajitoa ufahamu hivi sasa kuja kukutika kwenye Uzi wa mwanaume mwenzenu special hammuoni kuwa mnamzalilisha msanii wenu.
Ushabiki upo tu msitake Ku force kila mtu ampende huyo domo.
You guys needs to grow up and act like people who are matured.
Msanii wenu ni bora lakini kutwa kuhangaika na Ali kiba .
 
MAMA 2015 - ! http://mama.mtv.com/voting/ vote for wiz & Vane &Dav.
Hamna cha domo wala nini....labla awakilishe tanzania kwa kulea mimba za watu.
I mis you too mamy.
Yaani leo nimeamka na kupiga kura tuu...alafu apa pigia michepuko yako kadri uwezavyo hamna limit kila siku tuna vote

Luvly luvly..bebe...
Why why...
Kuwa mzalendoo...
Mbona mm umenifany nmekuwa team kiba japo on loan
 
Back
Top Bottom