Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jamani lazima tujipongeze team kiba, wapi mfuga njiwa na wenzieeee hahahaahahah
 
Woyoooooooooo
Woyooooooooooo
Woyooooooooooo
Woyoooòooooo
Woyooooooooo
Ally Kiba anashukuru sanaaaa
Ameahidi safari hii hatokaa kimyaaa
Mtajinyea nyea na kujiharishiaaaaa
Alivochukua ndomo ilikua fair ila akichukua mwingine ni unfair
Yani nyokolost wote andaeni vyooooo
 
Jamani kwani ile tuzo ya wimbo bora wa kushirikishwa si wanapewa Wote au...ikiwa ni ivo itakuwa 7.
Team ndomooooooo woyooooooooooooo
 
Woyoooooooooo
Woyooooooooooo
Woyooooooooooo
Woyoooòooooo
Woyooooooooo
Ally Kiba anashukuru sanaaaa
Ameahidi safari hii hatokaa kimyaaa
Mtajinyea nyea na kujiharishiaaaaa
Alivochukua ndomo ilikua fair ila akichukua mwingine ni unfair
Yani nyokolost wote andaeni vyooooo

Hahahahahaha leo nalala vizuriiiiii
 
Oyooooooooooooooooo eti kwani kuna nini mbona sura za team kiba zina furaha?
 
Official: Ali kiba ndiyo the best male artist hapa tanzania.
 
Hatareeeeeeeee. Kila kona Kibaaaaa Kibaaaaa kibaaaa kibaaa. Jamaa anastahili. Diamond kajisahau kahamia Naija.
 
We dayamondiiii kwa nini una nlock watu wewe!umekula maharage ya wapi wewe
 
eti KING KIBA hakustahili kaandika hivyooo et ila kibaaaa ni hatari
 
Back
Top Bottom