Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Awa watu siamini kama ni mashabiki wa Ali kiba awa ni haters wa Diamond waliojificha kwenye mgongo wa Kiba. Kiba hawezi kujivunia watu kama awa coz ata yeye akichana anga lazima watamchukia ata kutamani kumroga.

Hapo umenena mkuu, ni ajabu sana kwakweli...!
 
Hahahahahah piga piga piga kura mamaa mpigie davido na wizkid mamaa bundle ni yako as long as inakupa relief kdg. Duh pole sana.

Usiniambie pole unanikwaza .
Ivi wew mvulana vipi una kimblembele kama mbuzi wa mashine.
Pole kuna aliyefiwa apa? Alooooooooohhh kachambe babuuuu
 
Amna usimba na uyanga mkuu ni watu fulani wachache hawajiewi hivi kiba akiwa nominated mashabiki wa Chibu hawatamsapot? Sio wote wanaojiita team kiba wanamapenz na kiba wengine ni haters tu wa Chibu and vice versa.

Tokaaa, leo ndio unajua kama kuna watu hawajielewi? Wewe unajielewa?
Unadhani tumesahau ile thread yako ya kipuuzi uliyoileta juzikati kuhusu Kiba?
Kweli nyani halioni....... kabisa!
 
Tokaaa, leo ndio unajua kama kuna watu hawajielewi? Wewe unajielewa?
Unadhani tumesahau ile thread yako ya kipuuzi uliyoileta juzikati kuhusu Kiba?
Kweli nyani halioni....... kabisa!

Lipuuzii ilo halijielewi halina tofauti na nguruwe maana anacheua alafu anakula matapishi yake
 
Attachments

  • 1434206640918.jpg
    1434206640918.jpg
    31.8 KB · Views: 69
Nyie team ndomo mnakuja kumfundisha nani humu namna ya ku vote. Kwa taarifa yenu leo acha nivae sura yangu halisi.
Huyo domo ata angeshindanishwa na jiwe bora nipigie kura jiwe.
Nyambaaaaaaaafu nyie.
Kila siku mnamteta kiba kwamba wenu ni lulu au? Sageni vyupa mnywe
 
Tokaaa, leo ndio unajua kama kuna watu hawajielewi? Wewe unajielewa?
Unadhani tumesahau ile thread yako ya kipuuzi uliyoileta juzikati kuhusu Kiba?
Kweli nyani halioni....... kabisa!

Kumbe huyu ndiye aliyeleta thread ya kiba kamzidi shilole show yake ya America?
 
nifah niombee bhana huu mchepuko wangu davido achukue bhana.
Yaan nimepiga kura adi na hanganyikiwa.
Domo haambulii kitu

Mmmh kweli mtanzania ni mtanzania tuu saa cjui davido akishinda ww unapata nini...mm tim kiba ila huu upuuzi siufany maisha
 
Last edited by a moderator:
Mmmh kweli mtanzania ni mtanzania tuu saa cjui davido akishinda ww unapata nini...mm tim kiba ila huu upuuzi siufany maisha

Wew ni team kiba kivyako na kuwa team kiba tuu haitoshi.
Mimi ni team kiba na team muziki mzuri. Wew unaangalia usanii tuu au mziki unaokuvutia? Tembea na gepu kampigie domo kura acha kunifundisha upuuuzi nyoooooo kafie tandale tena shika adabu
 
Kwendraaa zako mwenye akili ni mimi shauri yako wew mbumbumbu. Afu haikuhusuu tembeza kengele zako uzi wa domo upo karatu kaufuate.

Nimecheka mimi... Yaani Nimecheka mpaka naonekana mwehu.. Bibie mbona mkali hivyo..teh teh teh.. Ujue mi nakupendea hapo tu...!!

Sipati picha jamaa alivyotimua na kengere zisizotoa sauti Daaaaah hatareee sana

BACK TANGANYIKA
 
Hahahaaa mkuu sio ukali kuna watu kengele sijui zinawawasha wana uchu wa kushauri adi wanapitiliza.
Mzima wew mkuu? Nimekumis ujue
 
Kwa ambae hajaalikwa kill music awards unaweza kuangalia kupitia cloudstv na EATV, kwa picha na video fupi utazipata kwenye page Yao kili_music_awards
Muda ni saa mbili na nusu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa mkuu sio ukali kuna watu kengele sijui zinawawasha wana uchu wa kushauri adi wanapitiliza.
Mzima wew mkuu? Nimekumis ujue

Hunishindi mamito,ndiomana nimekuja hapa nisikie japo sauti yako.... Nimefurahije mie!!

BACK TANGANYIKA
 
Kwa ambae hajaalikwa kill music awards unaweza kuangalia kupitia cloudstv na EATV, kwa picha na video fupi utazipata kwenye page Yao kili_music_awards
Muda ni saa mbili na nusu.

Sio saa tatu mamii?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom