Yaani mamy kiba asipochukua izo tuzo lazma kuna wizi na sitakaa nipige tena kura ata ya uraisi
nabii hakubaliki kwao siku zotee
Jamani kawapigieni kura Vanessa na wengine mtakaopendezwa nao.
Mie nimeshamaliza kwa Vanessa imegoma sijui kwanini.
Ila kwa WIZKID imekubali na best collaboration nimechagua ya akina Dj Araphat
Ndorrrrobo wewe
Jamani huyu tutusa asiwape shida, ameshasikia tetesi kua Kiba kesho atazoa tuzo nyingi ndio maana kaanza kulialia.
Na nyie Kill Musis Awards tunaomba kesho mfanye fair, hujuma yoyote hatutoivumilia na tutazipotezea hizo tuzo zenu.
Haiwezekani tupige kura halafu tunyiwe haki yetu kisa kichaa fulani aliyetumwa na watu fulani kalalamika.
Diamond mbona wanamubali sana tu na nyimbo zake lazma wazcheze sema tu wanamchukia kwakua alimwagana na wanjirunabii hakubaliki kwao siku zotee
Diamond mbona wanamubali sana tu na nyimbo zake lazma wazcheze sema tu wanamchukia kwakua alimwagana na wanjiru
Pumbaafuuu weweeee hata sisi tumepiga kula alah!!!
Ni chiz ambae hategemei kupona
Yeye anamlalamikia kiba tu tangu tuzo za watu kana kwamba hakuna washiriki wengine
Sasa hivi wanaigeria hawatakubali kuibiwa kura tena labda mashabiki wa iyanya wanaweza mpa mpa kidogo sababu msanii wao kashirikishwa. Imethibitishwa kuwa domo bila kubebwa na wasanii wa nigeria hamna kitu, hana pumzi wala punch katika sauti yake.
Kila mtu ana msanii wake anaempnda
Cha ajabu nini yeye kumpigia kura wizkid ?
Imekuuma nini mpaka umuite ndorobo cunt wewe !!
yani tunapoelekea hadi tuzo wataangali followers wa instagram
mtu kama kedrick cjui anafuata nn kwa KING KIBA nyambafu
Watu wengi istagram wanafuata skendo tu, domo kila siku matukio mara anatembea na shuga mami mara maza ake ana serengeti boy sasa kwa nini usipate wambeya wa mjini kukufollow ili kupata habari hahahahahhaha!! Boya sana yule dogo