pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,562
- 14,627
Bila king kiba muziki wao haujauzika bado, king kiba ndiye anayemfanya mondi kutafuta makolabo kila kukicha hahhhahaha!! Big up king kiba kwa kuboost wasanii wadogo ili walau watoke kwa makolabo
KING KIBA ni hatari mpaka christian bella kaomba wafanye collabo duh KIBAAAAA