Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Toa unafki wako hapa ndoooorobo wewe.Nani alokuambia anamshangaa cute b? Mbona wenzie tumeanza kuvote tokea jana?
Huna habari eeh? Bahati yako device yangu nimeifanyia hard reset ningekuwekea screen shots za jana nilizompigia Wizkid.

Mamy hujasikia harufu ya ushuzi ?? Kuna watu humu wamekula choroko zilizochacha.
 
Last edited by a moderator:
MAMA 2015 - ! MAMA 2015 vote for wiz & Vane &Dav.
Hamna cha domo wala nini....labla awakilishe tanzania kwa kulea mimba za watu.
I mis you too mamy.
Yaani leo nimeamka na kupiga kura tuu...alafu apa pigia michepuko yako kadri uwezavyo hamna limit kila siku tuna vote

Hahahahahah pole sana lakini ukae ukijua unajisumbua bure tu hate yako haitokaa ibadirishe chochote kwenye aloandikiwa na Sir God.
 
Kama aina ya mashabiki wa Kiba ndo hii, sishangai akikopa pride kujengea nyumba aisee.. Na nadhan hata management yake ina akili za hivhiv... Ana kazi sana aisee...!

Wew ulitakaje? Acha uchakubimbi. Alafu nyie watu sijui mna matatizo gani?
 
Kama aina ya mashabiki wa Kiba ndo hii, sishangai akikopa pride kujengea nyumba aisee.. Na nadhan hata management yake ina akili za hivhiv... Ana kazi sana aisee...!

Management ya kiba ndio bora kuliko zote Africa
 
Hahahahahah pole sana lakini ukae ukijua unajisumbua bure tu hate yako haitokaa ibadirishe chochote kwenye aloandikiwa na Sir God.

Nenda kanyeee huko. Na bado. Kinakuuma sana nenda kaolewe na domo uwe bi mdogo.
 
Kama aina ya mashabiki wa Kiba ndo hii, sishangai akikopa pride kujengea nyumba aisee.. Na nadhan hata management yake ina akili za hivhiv... Ana kazi sana aisee...!

Awa watu siamini kama ni mashabiki wa Ali kiba awa ni haters wa Diamond waliojificha kwenye mgongo wa Kiba. Kiba hawezi kujivunia watu kama awa coz ata yeye akichana anga lazima watamchukia ata kutamani kumroga.
 
MAMA 2015 - ! http://mama.mtv.com/voting/ vote for wiz & Vane &Dav.
Hamna cha domo wala nini....labla awakilishe tanzania kwa kulea mimba za watu.
I mis you too mamy.
Yaani leo nimeamka na kupiga kura tuu...alafu apa pigia michepuko yako kadri uwezavyo hamna limit kila siku tuna vote

Poa poa, narudi na screen shots hapa sasa hivi...
 
Nenda kanyeee huko. Na bado. Kinakuuma sana nenda kaolewe na domo uwe bi mdogo.

Hahahahahah hasira zote hizo kisa nini nyie wadada mbona poa tu kwani unapungukiwa nn mwenzio akifanya poa. Acheni roho za hivyo kiba na chibu wote wetu jamani usiumie kiasi hicho waliofanya nomination wameona kitu toka kwake.
 
Wew tulia bhana maana sijui unaandika utumbo gani. Kusoma hujui angalia ata picha .
Kafanya vizuri kuliko davido? Au kwa ajili ni mtz?
 
Sawa kabisa mkuu na kila mtu analiona hilo.

Na mtaendelea kuliona ,
Then unajua nini Mr hapa duniani kila mtu ana kitu chake anachokipenda mi coni tatzo kwa hawa wadada kuvote kwa favorites wao

Kwanini upoteze mda kubishana nao ikiwa umeshawajua ni haters? Au na wewe ni hater ?
 
Awa watu siamini kama ni mashabiki wa Ali kiba awa ni haters wa Diamond waliojificha kwenye mgongo wa Kiba. Kiba hawezi kujivunia watu kama awa coz ata yeye akichana anga lazima watamchukia ata kutamani kumroga.

Tuliza mshono babuuu. Kakologe ukwaju unywe tutolee ushuzi humu nenda kajenge taifa.
 
Na mtaendelea kuliona ,
Then unajua nini Mr hapa duniani kila mtu ana kitu chake anachokipenda mi coni tatzo kwa hawa wadada kuvote kwa favorites wao

Kwanini upoteze mda kubishana nao ikiwa umeshawajua ni haters? Au na wewe ni hater ?

Hahahahahah mimi sina tatizo kabisa na hao kina dada IQ zao zinajieleza. Nawaulumia wanavyotumia nguvu kubwa sana kwenye ishu ndogo tu kama hii. Mambo ya kupita kesho kesho kutwa akuta kuwa na kiba wala chibu kwa nini mpk wakose raha.
 
Kwa hiyo ulitaka tutumie nguvu nyingi kumzalia domo? Tumetumia nguvu zetu ku vote wew roho inakuuma umetuwekea mabando?
 
hakuna mtanzania yeyote awe kiba au domo ambaye atakuja kupata tuzo ya kimataifa maana usimba na yanga ulisha ingia kwenye mziki wetu labda hao wengine
 
Hahahahahah piga piga piga kura mamaa mpigie davido na wizkid mamaa bundle ni yako as long as inakupa relief kdg. Duh pole sana.
 
hakuna mtanzania yeyote awe kiba au domo ambaye atakuja kupata tuzo ya kimataifa maana usimba na yanga ulisha ingia kwenye mziki wetu labda hao wengine

Amna usimba na uyanga mkuu ni watu fulani wachache hawajiewi hivi kiba akiwa nominated mashabiki wa Chibu hawatamsapot? Sio wote wanaojiita team kiba wanamapenz na kiba wengine ni haters tu wa Chibu and vice versa.
 
Attachments

  • 1434205830244.jpg
    1434205830244.jpg
    30.2 KB · Views: 59
Back
Top Bottom