Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,543
- 35,401
aaah sana!
Mie hiyo nyimbo nilivyoiona nilicheka sana....mradi tu wameweka vimaneno vya kunogesha nogesha.
dah asante KingKiba kwa lile dance la mwana hakika haichoshi.
ndo akili yao ilipoishia. ngoja tusubiri chekecha video uone dance la humo