Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ashukuriwe Diamond kwa kumwamsha usingizini Ally Kiba...

Al the best katika show zake, ana sauti nzuri sana hiyo ni moja ya asset zake. Twasubiri mipicha

Kasikilize dude la Mwanafa ft Lady JD inaitwa MSIACHE KUONGEA kuna mstari mtu mzima alisema " Nakuwa kama ALLY KIBA Natimba kila KIWANJA"

Hizo tour anazozifanya kiba ni season two. Mtaalam alishafukia kote huko na ndio msanii pekee tanzania anaongoza kwa kufanya shoo nyingi na kali ughaibuni.
 
Last edited by a moderator:
Which question did you answer beach girl?
Niliuliza hivi:
Where was he?
who made him back???
Wasn't he there?
................
wewe umeishia kunivulia nguo zote! Unadhani nitakubakiza mzima?

Wewe naona umepaniki bure ukome kuniita beach kuwa mstaarabu and grow up.
Hayo maswali kaulize huko siyahitaji mimi. Roho zingine za ajabu kweli kweli.:thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown:
 
yaani mnakoseana heshima kisa ushabiki ambao kimsingi hakuna anae lipwa zaidi ya burudani
 
Nadhani sio kitu kigeni sana Hiyo moja ni trace tv ya ufaransa na nyingine Sound city ya Nigeria.
Na nimeshuhudia zikicheza video za wasanii kama Diamond na AY.
Badala ya kuleta ushabiki na ushindani usio na tija basi tuwasaidie wasanii wetu
 
Mimi kwa upande wangu nimeshuhudia jina la msanii kama Diamond ni kubwa na ninakumbuka niliwahi kuulizwa na mtu mmoja kutoka Guinea kama Diamond ndie msanii mkubwa pekee Tz
 
Jana nilijipa mda kusikiliza cheketua na nana.. kiukweli kiba ni kipaji cha hali ya juu. Kwa mfano chukua wimbo wa mapenzi yanarun dunia huwezi fananisha na wimbo wowote wa dai. Ujanja wa diamond ni kucheza na media (tv, radio, mitandao nk) vzr, show nzuri (dai kwa kucheza ni hatari), mameneja wanaoangalia kila fursa, kuwekeza pesa nyingi kujibrand (ana mpiga picha, mlinzi, dj, pia na zari).. alivyojibrand inabidi promota zimtoke hela nyingi.
Nahitimisha kwa kusema kuwa Kiba arekebishe makosa yake na kuanza upya. Aache uswahili maana yeye ana thamani ya juu sana. Alipo ss hivi sio panapomfaa.
 
Umeona eeh!! HehehWao wakipondea eti changamoto ila sie sasa mweeeh utadhani mtu kuchukua tuzo ndo kuwa malaika!Kuna jimama moja huwa nalideku tu....mwanzoni lilikuwa linasema oooh mi nawasupport wote, dai akifanya vizuri na sifia na Kiba akifanya vizuri nasifikia na kwenye kukosoa nawakosoa wote......mfyuuuu kiko wapi sasa??!! Now kila day linamponda Kiba.....yaani katika malupelupe yasojielewa lile namba moja wallah linalopoka ka jehu vile hahahaaa uwiiii nachekaga sana nikikutana na comment yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…