Ali Kiba Fans' Special Thread...

Oyoooooo! Hizi ni salamu kwa mtaa wa pili, jipangeni kwa dhoruba kali mwaka huu..
NDIO TUNAKUJA HIVYOOO!!!

Ha haa sasa cha ajabu nini??
Yani mngekuwa kama za dai zinavyooneshwa msinge lala...
Kwanza video ilishachuja kitamboo

Sankoro::sankoro
 
Nilikuwa nawaza video itoke inikute nje ya nchi itakuwaje...
Au tuzo zitoke zinikute nipo nje ya nchi ingekuwaje...daah niliwaza sana.

Naomba matokeo ya tuzo ya icon wa tz iliokuwa inatolewa na chuo cha udsm n we ndo ulikuwa una hamasisha watu kupiga kura naomba matokeo now n swali tu plz
 
Jaman team kiba naomba matokeo ya tuzo ya icon ilikuwa inatolewa n chuo kikuu cha dar es salaam plz jaman maana kiba alikuwa anashiriki n kura zilikuwa zinapigwa zaidi ya Mara moja
 
Ha haa sasa cha ajabu nini??
Yani mngekuwa kama za dai zinavyooneshwa msinge lala...
Kwanza video ilishachuja kitamboo

Sankoro::sankoro

Kwani nani aliyesema kuna ajabu? Ajabu hiyo unaiona wewe.
Nimesema ninachojisikia, na wewe ungesema unachojisikia pia.
Sijaona haja ya kuniquote.
 

Naombeni matokeo ya icon wa udsm wasomi wamemchagua nani ndo icon wa tz plz nisaidieni


Utadhani aliahidiwa ndoa, ye atulie tu maana ashapata chata la mfalme, genye zake kwa king zipo juu kweli




 
Last edited by a moderator:

Kashinda nani iyo tuzo ya icon Dada yangu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…