Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,410
- 82,323
Ushamba mzigoo wa miiba, wanajulia wapi? Washazoea kuona watu wanafuatana na kukimbizana barabarani basi kwao huo ndio ubunifu na ndio video bora, hata aina za video hawazijui kazi kubwabwaja tuuuu!! Sikio la kufa hawa!
Hahahahaaa kweli nimechekaje hapo kwenye red?
Halafu kuna watu hilo hawalioni wanawaza kumpondea King tu.