Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,416
- 82,368
Mange this is too much my dear, nahisi unapitaga kwanza huku JF kuona nimetoa mawazo gani kuhusu new releases!..lol
Ila nahisi tuna upeo sawa wa kuona mambo kwa mbali zaidi maana ni mara nyingi tumekua tukifanana katika maoni yetu ila kwa Kiba tunakuwaga tofauti always!
Ila kwa hawa wengine sana tu...ni kweli kwenye hii nyimbo aliyeubeba ni Mr. Flavour tu, tena hiyo 5/10 uliyompa ilitakiwa useme Mr. Flavour 4 diamond 1.