Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,410
- 82,324
Just say thanx. Being human is wisdom.
I lectured sth into u.
Thanks for what? You can't be serious dude.
Just say thanx. Being human is wisdom.
I lectured sth into u.
We unafikiri ana compete na nani? Hafu njoo na I'd yako ya siku zote nendeni kwenye Uzi wake. Hahaaaaa yani ndo kutokujiamini hadi kuja na I'd mpya. What a shame mxiiiiiewwww.
Hahahhahahahaha nimecheka kwa nguvu hadi nyumba ya pili wamesikia!
Jamani narudia hatutaki magazeti huku maana kule jukwaani nakimbiaga hayo magazeti maana hadi kichwa kinauma kwa jinsi yalivyo marefu!
Japo siyasomagi lakini nikiyaona tu kichwa kinaniuma!
Halafu nimekumbuka kitu, huyu chizi data kuna sehemu nimemuona akisema Kiba fans tuna id nyingine mpya!
Huyu ana akili nzuri kweli? Hizi id's mpya za wenzao humu jukwaani hazioni? Hadi wanafungua uzi wa kutulalamikia pia haoni?
Jinga sana hili.Kiba fans tunajiamini, hatuna muda wa kufungua id's mpya ni mwendo wa jino kwa jino.
Huyu naona hanijui, ngoja leo aucheze mziki wangu kidogo.
Ngoja nimpe japo dakika 20.
Na kweli kapanick mwenzangu, video kama moyo wangu ni idea zilikosekana hadi irudiwe ya Adam Juma?
Maana King wetu walisema katolea chooni, haya huyu aliyerudia je?
Ngololo zilezile, yaani in short there is nothing new.
Ila yeye unamjua ?
Wote nyie team kiba mna fake Id's zinazo mpraise Di..
Thanks for what? You can't be serious dude.
Tena zaidi ya hapo cha mtoto hapana cheizeiiiya hii ni namba nyingine kabisa.
Beyonce wa mbagala
Beyonce wa mbagala
sawa lakini hiyo haimaanishi Kiba mbovu ingawa ana matatizo yake yanayotukwaza sisi mashabiki wake!mi sio shabiki maandazi!!domo yuko juu kikukweli hata the way anavofanya kazi unaona kabisa huyu sasa anahama hizi level za kibongo bongo!... nikuambie kitu?? wakati domo anavuka boda kufanya shooting kali kama hizo, Leo Kiba alikua pale viwanja vya benjamini Mkapa anacheza ndondo na watoto wa mtaani!!... kaniboa kweli huyu jamaa leo!! upo bize na ndondo halafu unataka kupambana na domo kwenye mziki??
Ni wa kupuuzwa hawa mtu wao katoa wimbo badala waende huko wanakuja na I'd mpya huku. Waswahili ni shiiiider tu.
.I don't give a fuc.k.
Halafu nimekumbuka kitu, huyu chizi data kuna sehemu nimemuona akisema Kiba fans tuna id nyingine mpya!
Huyu ana akili nzuri kweli? Hizi id's mpya za wenzao humu jukwaani hazioni? Hadi wanafungua uzi wa kutulalamikia pia haoni?
Jinga sana hili.Kiba fans tunajiamini, hatuna muda wa kufungua id's mpya ni mwendo wa jino kwa jino.