nifah dada mwenyewe ndo huyuuuu?Ha ha ha ha ha chezea mutoto muzuri kutoka Zenji aliyeko UK wewe?
Jamani wanawake tujifunze kutokana na hili la Zari.Hii tabia ya kuparamia wanaume tusiowajua na kuanza show off na vijembe vya hatari tuache.
Ona sasa kama ni kweli Zari anaadhirika vipi? Na mimba akajibebesha kumkomesha wema, ataiweka wapi hii aibu?
Atulie tu na kukubali kua kuchapiwa ni siri ya ndani kama alivyokoma mashauzi maana huko insta yuko kimya kama sio yeye.
Mwanaume/mwanamke aliyetoka kubreack up na mpenzi wake anakua hana mapenzi ya dhati bali kulipiza kisasi.Na wale wote wanatumiana kulipa visasi....hapo sasa!
Haya sasa tuangalie yajayo sasa tunaomba tuliimarishe taifa la wana cheketua, kwanzia leo mpaka siku ya tuzo za KTMA ni kupiga kura tuu. Yaan ukipanda daladala chukua simu ya majiran muombe kutuma mesej afu piga kura. Hapa ni mwendo wa kushinda tuzo zoooote. Asanteni
Nilisoma mahali eti kamtumia domo wapelelezi ....
Yaani mtoto wewe nakugawa!! Yaani kwa umbea wewe!
Hata mi nilijua tu hakuna kudumu. Nikasema nisiongee sana nisije onekana hater. Yani yule ni kiboko aisee aliona mbali kwa darubini Kali.
Rumours hizo mwenzangu lakini lisemwalo?
Bibie tokea juzi hizo habari zilivyovuja hajapost chochote.So kuna kitu kinaendelea hapo....ila itabidi ajikaze tu maana hakuna jinsi ndio utu uzima huo.
Hata mimi nilikua disappointed sana lakini mwisho wa siku nikaona haina haja ndio maisha yake aliyojichagulia.
Oyaaaaaaa mnakumbuka kupiga kura lakini???!!!
Ali Kiba yoooo
Shoga hebu umwage huo ubuyu vizuri basi? Na atakoma na hashuo zake.Mwanaume anapelelezwa tokea lini?
Bora angekua mwingine ila sio domo pasua kichwa.
Shoga hebu umwage huo ubuyu vizuri basi? Na atakoma na hashuo zake.Mwanaume anapelelezwa tokea lini?
Bora angekua mwingine ila sio domo pasua kichwa.
Ndie huyohuyo shoga! Hatariiii japo bado mambo hayathibitika...
Naona domo kachoka wasichana kahamia kwa wamama maana nasikoa huyu nae ana watoto watatu!
Angekua Kiba mbona tungekoma?
Aiseee diamond ana ela embu pigeni hesabu kalipa elfu 10 kwa boda boda hao aiseee nyie cjui account ya kibwa inasoma tshs ngapi
Ela ya video tu imewashida haaah so hao wote walikodishwa
Mbona kiba alikodisha watu kumzomea diamond fiesta n kwny TIGO music concert walikuwepo walivyo anza kuzomea wakawa wanarushiwa elfu 2 n diamond mashabiki wa kiba wakanza kumshangilia diamond mnajaa sn km msanii wenu kiba
Haya haya jamani wakati wa kupiga kura KTMA ndio umeshafika.
Yafuatayo ni maekekezo ya jinsi ya kumpigia King Kiba kura na vipengele vyake.
1.Mtumbuizaji bora wa kiume CODE # DA4
2.Wimbo bora wa mwaka CODE # AB1
3.Mwimbaji bora wa kiume CODE # BB1
4.Mtunzi bora wa mwaka CODE # FB1
5.Video bora ya mwaka CODE # GA3
6.Wimbo bora wa Afropop CODE # AH1
7.Wimbo bora wa kushirikiana CODE # AL4
Jinsi ya kupiga kura.
1.Tuma hizo code # kwenda namba 0686 528 813 kwa kutumia WhatsApp.
2.Tuma hizo code # kwenda namba 15415.
Kwa wale wa WhatsApp nadhani itakua rahisi kwetu.
NB.Tuma code moja moja kwa kila sms usiunganishe zote kwa pamoja.Nimejaribu kutafuta jinsi ya kupiga kura online nimeshindwa!
Mwenye kujua zaidi naomba atufahamishe.
Pionaire njoo hapa nadhani utaelewa vizuri sasa.
Vote vote for King Kiba.
Hahahhahaahah sasa jifikirie video hakuna na mmepigwa bao, hahahahhaha hiyo ni audio nyi hangaiken kutoa video kila siku wakat si tunachekechaaa hahahahaha rahaaaaa
Sasa unaanza kuingia laini kuwa bodaboda zimekodishwa safiiiiiiii! Leo acha tujae tu bana, tunywee kwani tumekosa tuzo???
Code si ndo hizi hizi au zimebadilika??Now nipo home place ni mwendo wa kuvote tu!!