Ali Kiba Fans' Special Thread...

Pamoja mamy...hongera kwa kutopoteza kura yako bure

Acha tu nimefurahi sana.
Na kampeni pia nilifanya mpaka supporter mwenzangu akapata na kadi ya mwaliko. Chezea uzalendo damuni!

Kiba ni hazina ambayo haipaswi kupotezwa kabisa.
 
Jamani domo alivyo na visa kesho atajaza watu kirumba waingie bureeee hahahahha ili aonekane anapendwa.kama alivyoandaa bodaboda leo hahahhahahah
 
Kati ya team kiba na team domo nani shabiki andazi wasioweza ata kumpigia bosi wao kura?
 
Pole sana domo hii ni dalili kuwa uache dharau, watu wakikushauri sikiliza usiwaone wachawi, acha kudharau na kuwadhalilisha.ma x wako, acha kujiona uko too international, wabongo hawapendi mashauzi domo
BADILIKA na acha bifu na wasanii wenzio, hadi dimpozz kakudiss
 
Acha tu nimefurahi sana.
Na kampeni pia nilifanya mpaka supporter mwenzangu akapata na kadi ya mwaliko. Chezea uzalendo damuni!

Kiba ni hazina ambayo haipaswi kupotezwa kabisa.

Yaan mimi kila simu ya mtu nilikuwa nikishika tuu kama ina salio atampigia kura penda asipend...
Me pia nilishinda tiket but nimegawa coz nipo nje ya mkoa....
Im proud for kiba duuuuuuu...
Kitanda kimekuwa kidogo maana nimenenepa ghaflaaaaaaa
 
Wao walimwambia aachane na tuzo za nyumbani ni too local kwa level yake ye eti ni wa International ka tuzo za BET.Ngoja kiba achukue mweeeeeh

Hahahaaaaaa na zenyew kakosaa...sipati picha na domo lake lile....acha nikamchungulie anaweza akawa amediss niwahi ubuyu ukiwa wa moto kabla haujafutwaa
 
Wao walimwambia aachane na tuzo za nyumbani ni too local kwa level yake ye eti ni wa International ka tuzo za BET.Ngoja kiba achukue mweeeeeh

Mamy ule ubuyu niliokuambia ile saa nimeuotea ukiwa wa mato hauna ata dakika hewani.... naona wanaonyesha kidogo kidogo....ila ni keupee sielewi mama yake ni mweusi baba yake ni mweusi wamesaa mtoto mweupe ametoka wapi....ebu acha nikamtafute domo kwanza
 
Attachments

  • 1432330775071.jpg
    38.3 KB · Views: 75
Yaan mimi kila simu ya mtu nilikuwa nikishika tuu kama ina salio atampigia kura penda asipend...
Me pia nilishinda tiket but nimegawa coz nipo nje ya mkoa....
Im proud for kiba duuuuuuu...
Kitanda kimekuwa kidogo maana nimenenepa ghaflaaaaaaa

Najaribu kuimagine kama hiyo ingeenda kwa Mondi....humu ndani kungekuwaje leo!
 
Watoto wengi wakiwa wadogo huwa white wakikua wanabadilika.Pia mweusi kwa mweusi wanaweza kuzaa mtoto mweupe balaa.
 
Uwiiiiiiiiiiii domo kablock account zake zote za insta...
Heheheiyaaaaaaaaaaaaa
 
Aibu zimemshika kablock zote...
kiba mkimbizeeee domooooooo
 
Uwiiiiiiiiiiii domo kablock account zake zote za insta...
Heheheiyaaaaaaaaaaaaa

Hahaaaa makubwa madogo yana nafuu msanii international level za kina Jay z teh teh. Dedication ya nimevurugwa by @snura majanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…