Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mwambie kiba atafute tuzo..alaf ingekua mngekua bze kumshauriii kiba badala ya kusifia ujinga ujinga
Kiba hataguti tuzo bali zitamfuata.Kumekucha kijana, giza la kufumba macho linakudanganya.Ukisema tushauri basi soma thread lote!
 
Kama kawaida yenu hamnaga maneno mengine.Ushaona lini bahati inafundishwa kwa mwengine?Nina wasiwasi wewe hata zile categories na nominees wengine huwajui na myimbo zao.

Ha haaa kweli umeishiwaaa..et bahati???? Ha ha lalen mlango wazi bhas.......
Ni uwezo na sii bahati...
 
Kiba hataguti tuzo bali zitamfuata.Kumekucha kijana, giza la kufumba macho linakudanganya.Ukisema tushauri basi soma thread lote!

Wakati sasa hiv halaliii..kutafuta tuzooo...anatumia slope za dai..
Paka wema na jikte wamsaidieee...kweli hii ni aibu aibuuuuuuuu....

Asubir siku zari akiachika atampigia promooooo
 
Hahahaaaa! Hawezi kuwa mwanaume huyo hata kwa bahati mbay, by the way Avemaria they are not worth yo energy at all, acha waweweseke tu.

Kwakweli nitashangaa sana akiwa mwanaume!
 
Last edited by a moderator:
Ukishaona mtu anaanza kuhesabu vile alivyo navyo anza kuweka doubt!!!

Kibaaaaaaaaaa pop it in.
 
Mimi hii njia ilinishinda kitambo maana nilitumia fb a/c yangu ila nashangaa kila nikijaribu wananiambia PHP Error was Encountered!

Wanasumbua watu bure wangeweka iwe rahisi kupiga kama tuzo za watu unaingia online kiurahisi.
 
Hahaaa wanaume wengine bana huyo ni domo mwenyewe wakumhurumia si unaona hata tamko lake la insta frustration zinawasumbua aisee.

Yaani ukimuona mwanaume anaongeza herufi mbele mfano halaliiiiiii, mfanooooo ujue huyo ni kidole juu na hapo nyuma ya keyboard anakata kiuno.
Trust me.Gentleman hawezi kufanya huo upuuzi.
 
Yaani wamepagawa hatari toka lini nawaona hawakauki humu na kila ajae story ni hiyo moja tu wanafanya kubadilishana muda, hahahaaaaa! Na bado mbona!
 
Hahaaaaa! Km namuona hivi!!! Apeleke huko sasa kwani nani kamwambia hapa kuna wateja? Hizo habari zake hapa zinahusikaje? Au ule uzi umefungwa?
 
Wanasumbua watu bure wangeweka iwe rahisi kupiga kama tuzo za watu unaingia online kiurahisi.

Umeona eeh? Kwahili Kill Music awards mmefeli Jamani! Kwanza kupiga kura kwa kutumia fb au twitter accounts zetu sio salama kwa usalama wetu kwa tunaotumia majina yetu halisi.
Walitakiwa waige mfano wa Tuzo za watu wako fresh sana na wamejipanga.
 
Hahaaaaa! Km namuona hivi!!! Apeleke huko sasa kwani nani kamwambia hapa kuna wateja? Hizo habari zake hapa zinahusikaje? Au ule uzi umefungwa?

Uzi umefungwa au umekufa? Hahahahaa watu kuiga iga tu ona sasa hadi wanakuja kujiaibisha huku!
Sisi huku tumejipanga na tunajua tunachokifanya tofauti na wenzetu wanaogombana na kuchambana hadharani...lol
 
Yaani wamepagawa hatari toka lini nawaona hawakauki humu na kila ajae story ni hiyo moja tu wanafanya kubadilishana muda, hahahaaaaa! Na bado mbona!

Hahaaa zaidi ya kupagawa hawa ndo wanazidi kumharibia domo badala wamshauri wao wanamwambia Kiba ndo anamtumia kupata umaarufu Mara tuzo za ndani sio nzuri yee wa international hapo wanampoteza maboya mwenzao. Hafu wanafikiri kumshambulia Kiba ndo kuna mfanya domo kuwa bora.

Hafu wanakuja kwa zamu na I'd tofauti na kumhesabia eti ana tuzo nyingi na Hide angeweka zake ingekuaje sasa more than ten years ago yupo kwa gemu. Hawa mashabiki wanampoteza mwenzao eti challenge ni kuchukiwa na kushushwa. Ali kiba hatabaki kuwa yeye na hashindani na mtu ndo mana hana stress.:thumbup::thumbup:
 
Yaani ukimuona mwanaume anaongeza herufi mbele mfano halaliiiiiii, mfanooooo ujue huyo ni kidole juu na hapo nyuma ya keyboard anakata kiuno.
Trust me.Gentleman hawezi kufanya huo upuuzi.

Hahaaaa uwii ni kweli aisee uswahili unakua umemzidi mno yani anafikiri yuko kwenye msuto na wenzake huko. Uko kukata kiuno na kupapatikia midume mingine mwishowe ageuzwe mwenyewe so sad inabidi Ku act like a real man.
 
Umeona eeh? Kwahili Kill Music awards mmefeli Jamani! Kwanza kupiga kura kwa kutumia fb au twitter accounts zetu sio salama kwa usalama wetu kwa tunaotumia majina yetu halisi.
Walitakiwa waige mfano wa Tuzo za watu wako fresh sana na wamejipanga.

Na hapo ndo walipochemka yani Mpaka uwe na account fb na tweeter watu wengi hawana hizo accounts wamechemsha mno kwa hilo next year waweke njia ya kupiga online ka tuzo za watu.
 
Uzi umefungwa au umekufa? Hahahahaa watu kuiga iga tu ona sasa hadi wanakuja kujiaibisha huku!
Sisi huku tumejipanga na tunajua tunachokifanya tofauti na wenzetu wanaogombana na kuchambana hadharani...lol

Hakuna kitu kinanifanya niwaheshimu Kiba's fans kama hicho, salute
Wao si kila kitu anachofanya kiba kinawakaba roho, sasa hata watakachofanya mashabiki pia kinawauma

Lini kiba alikwenda kuwaomba hao wake za mond wampigie promo?? Alafu iliandikwa wapi kuwa kisa walishawahi mdate ungo basi hawaruhusiwi kushabikia mziki mzuri toka kwa the super handsome? Chezea le king wewe unampinga machoni moyoni unamkubali.
 
Hahaaa zaidi ya kupagawa hawa ndo wanazidi kumharibia domo badala wamshauri wao wanamwambia Kiba ndo anamtumia kupata umaarufu Mara tuzo za ndani sio nzuri yee wa international hapo wanampoteza maboya mwenzao. Hafu wanafikiri kumshambulia Kiba ndo kuna mfanya domo kuwa bora.

Hafu wanakuja kwa zamu na I'd tofauti na kumhesabia eti ana tuzo nyingi na Hide angeweka zake ingekuaje sasa more than ten years ago yupo kwa gemu. Hawa mashabiki wanampoteza mwenzao eti challenge ni kuchukiwa na kushushwa. Ali kiba hatabaki kuwa yeye na hashindani na mtu ndo mana hana stress.:thumbup::thumbup:

Eti oooh sie tunampoteza kiba, nyamafuuuuuu! Hivi wamepita humu wakaona jinsi tulivyomshauri au wanadhani na sie wanafiki kama wao?? Ushauri tushatoa sanaaa now ni muda wa kupata burudani tu, na tutashauri pale inapobidi sio kwa kupelekeshwa tu na upepo!
 
Back
Top Bottom