Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Domo ni kama Nick Minaj.
Pamoja na kufagiliwa koooote na kupewa collabo hadi watoto wa Primary wanamjua.......lakini akipangwa na Eve ama Missy Elliot lazima akalishwe!!
Hivi Mondi kwenye hizo collabo anaimbaga nini, frankly??
Kwenye coco baby Waje mwenyewe kaimba vizuri ila ndugu yetu sasa osheeeeee eeeh na poorest lyrics & vocal ever! No more discussion
Kwenye ile nyimbo ya Yemi Alade sasa.....Chinekeeeeeee he dey destroy my ear drums oooh!!!
Save da words now, make you tell your Oga!
unaongea kwa facts mpaka unaboa
ujue hawa viwavi jeshi wanasumbua